Wapi kuna usahili (audition) wa kuigiza katika filamu, documentary au matangazo ya runinga?

Napenda Kuigiza

New Member
Dec 2, 2017
3
0
Ninapenda kuweka wazi maombi yangu ya kupewa taarifa ulipo usahili (auditions) wa kuigiza katika filamu, documentary au matangazo ya runinga. Naomba msaada na ushirikiano wenu. Ahsanteni.
 
Angalia star Swahili (star times) wanakuaga na hayo mambo
 
Back
Top Bottom