Wapi kocha abdallah "king" kibadeni mputa?

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Heshima wana jf!
Naomba kuelimishwa kuhusu huyu kocha ni muda mrefu sijamsikia kwenye vyombo vya habai hasa tv.
Yu wapi kocha huyu mzalendo?
 
Heshima wana jf!
Naomba kuelimishwa kuhusu huyu kocha ni muda mrefu sijamsikia kwenye vyombo vya habai hasa tv.
Yu wapi kocha huyu mzalendo?

mputa yuko fiti kabisa huwa namuona mara nyingi nyumbani kwake sinza kwaremi pale mwembeni; nadhani bado tuko simba
 
Back
Top Bottom