Wapi kiwanja cha mil. 1 Dar

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Naomba kujua wapi naweza pata kiwanja cha mil.1 Dar. Nijenge nyumba ndogo ya vyumba 4 basi!
 
Mil 1 hakipo DSM labda mtu akukatie kieneo cha mita 3.5 kwa 4 cha kuweza kujenga kiosk huko Mbagala Kizuiani.
 
kwa 1.5ml utapata maeneo ya chanika,,,, eneo dogo la kukuwezesha kujenga nyumba ya kuanzia maisha na familia yako
 
Hehehe utaachika na sapraizi hizo. Sasa hivi nimetoka kuchochelea mtu akambananishe baby wake. Eti kasapraiziwa na gari! Nimempa makavu, wamenunua wenzio. Kuna siku utachomolewa kwenye foleni!
ukipata na mimi niambie nimsuprize baby
 
ndugu, kuna mzee huku kwetu Kivule ( G/mboto ) ana eneo lake amelikata anauza. Eneo lenyewe ni dogo tu. Unawezajenga chumba kimoja kikubwa na sebule na choo tu basi umemaliza. Bei yake haifiki hiyo uliyo nayo.

kinauzwa kwa Laki 7 na nusu.

Kama unahisi kitakufaa tuwasiliane ili nimtaarifu Mzee. 0715553166
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom