Wapi kazi?

Hapakazi

Member
Sep 19, 2011
9
0
Naona jigambeads.com wanatoa kazi ila kwa njia ya tofauti kabisaaaaaaaaaaa.Hii ni style mpya.
Kwa sasa mnaweza kuwa mnaturahisishia kazi sisi. Hapa hata nikiwa nyumbani naweza kufanya kazi.
Nimewakubaki .
 
Mm ndugu zangu wana jf ni mtaalam wa kutengeneza milango, madirisha makabati patishen alco bond cut wall kwa kifupi kitu chochote kinachohusu Aluminium ninapatikana kongo na lindi najua wana jf wote ndugu mtu mwenye kaz popote pale tuna kwenda kupiga kaz nina
 
Back
Top Bottom