WAPI ISACK MYENJWA GAMBA?

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,378
1,627
Huyu bwana Nina muda mrefu sana sijamsikia redioni wala TV huku alikuwa nguli kwenye tasnia ya habari naomba mnijuze yuko wapi na anafanya nini ikiwezekana nipatieni mawasiliano namkubali ktk kazi ilikuwa
 
Yupo DW born germany
 
Back
Top Bottom