Unahitaji tindikali.!?
Umeshawahi kusoma hata chemistry kidogo?
Mix hivi vitu.
conc Sulphuric acid na...................... Utapata kitu inaitwa akwalegia.
Jaribu kunawia uso uone.
Bwana Mbuzi,
nakushauri ubadili mawazo kwani huko unakoelekea...utaishia pabaya.
kuna mambo mengi sana ya kufanya hata kama bado upo mtaani...hapahapa jamii forum unaweza kuomba ushauri..ila huo unaoutaka nakushauri uache!
kwa picha ya haraka tu, inaonekana hujui tindikali kwani zipo nyingi kwa kazi tofauti tofauti.
kumbuka majaribio yanayotumia tindikali hufanyika kwenye chumba maalum (maabara) chenye vifaa maalum kwa ajili hiyo na hayafanywi kwa mzaha kwani unaweza kutengeneza sumu au kitu chenye madhara makubwa kwako au kwa mazingira bila kujua. ila kama unapenda sana majaribio ya ki kemia...jiandikishe kozi za namna hiyo kama una vigezo..
mwisho,
TINDIKALI HAIUZWI KWA MTU AMBAYE HANA KIBALI/KIELELEZO CHA KUONESHA ANAKOIPELEKA
Mmh... ngoja hii post aione Afande Kova, ili awatume vijana wake waje wakudake hapo ulipojificha ili ukaswekwe ndani ili uisaidie polisi kwa kueleza kama unaitaka hiyo tindikali kwa madhumuni gani!wadau nsaidieni inapouzwa sina lengo la kumwagia mtu bali nataka jufanyia majaribio yangu....asanteni mm nko dar
Mmh... ngoja hii post aione Afande Kova, ili awatume vijana wake waje wakudake hapo ulipojificha ili ukaswekwe ndani ili uisaidie polisi kwa kueleza kama unaitaka hiyo tindikali kwa madhumuni gani!
mimi nataka iliyotengenezwa tayari kama ambazo wanamwagiwaga watu usoni
Nauza lita moja ya H[SUB]2[/SUB]SO[SUB]4[/SUB] sh 150,000