Wapi inauzwa tindikali?

fiter

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,144
78
wadau nsaidieni inapouzwa sina lengo la kumwagia mtu bali nataka jufanyia majaribio yangu....asanteni mm nko dar
 
kiwalani karibu na kiwanda cha pepsi kwa nyuma eneo la Mtambani ambapo ipo ileeeeeeeeee ofisi ya DOWASI..........maeneo hayo utapata ile Conco.......
 
Unahitaji tindikali.!?
Umeshawahi kusoma hata chemistry kidogo?
Mix hivi vitu.
conc Sulphuric acid na...................... Utapata kitu inaitwa akwalegia.
Jaribu kunawia uso uone.
 
Kuna duka moja Kariakoo liko mkabala na nyumba za polisi. Uliza afande Mwita utaoneshwa ofic yake.
 
Kova alikua na stock kkidogo tulipofanya stock taking mwaka jana. Unahitaji kiasi gani ? bei si unaijua ?
 
Bwana Mbuzi,
nakushauri ubadili mawazo kwani huko unakoelekea...utaishia pabaya.
kuna mambo mengi sana ya kufanya hata kama bado upo mtaani...hapahapa jamii forum unaweza kuomba ushauri..ila huo unaoutaka nakushauri uache!

kwa picha ya haraka tu, inaonekana hujui tindikali kwani zipo nyingi kwa kazi tofauti tofauti.
kumbuka majaribio yanayotumia tindikali hufanyika kwenye chumba maalum (maabara) chenye vifaa maalum kwa ajili hiyo na hayafanywi kwa mzaha kwani unaweza kutengeneza sumu au kitu chenye madhara makubwa kwako au kwa mazingira bila kujua. ila kama unapenda sana majaribio ya ki kemia...jiandikishe kozi za namna hiyo kama una vigezo..

mwisho,
TINDIKALI HAIUZWI KWA MTU AMBAYE HANA KIBALI/KIELELEZO CHA KUONESHA ANAKOIPELEKA
 
Hivi tofauti ya Tindikali na haya Maji ya beteri tunayoweka kwenye mabeteri ya magari ni nini.?
 
Unahitaji tindikali.!?
Umeshawahi kusoma hata chemistry kidogo?
Mix hivi vitu.
conc Sulphuric acid na...................... Utapata kitu inaitwa akwalegia.
Jaribu kunawia uso uone.

mimi nataka iliyotengenezwa tayari kama ambazo wanamwagiwaga watu usoni
 
Bwana Mbuzi,
nakushauri ubadili mawazo kwani huko unakoelekea...utaishia pabaya.
kuna mambo mengi sana ya kufanya hata kama bado upo mtaani...hapahapa jamii forum unaweza kuomba ushauri..ila huo unaoutaka nakushauri uache!

kwa picha ya haraka tu, inaonekana hujui tindikali kwani zipo nyingi kwa kazi tofauti tofauti.
kumbuka majaribio yanayotumia tindikali hufanyika kwenye chumba maalum (maabara) chenye vifaa maalum kwa ajili hiyo na hayafanywi kwa mzaha kwani unaweza kutengeneza sumu au kitu chenye madhara makubwa kwako au kwa mazingira bila kujua. ila kama unapenda sana majaribio ya ki kemia...jiandikishe kozi za namna hiyo kama una vigezo..

mwisho,
TINDIKALI HAIUZWI KWA MTU AMBAYE HANA KIBALI/KIELELEZO CHA KUONESHA ANAKOIPELEKA

kuonesha anapoipeleka? Kwa hyo kumbe wanaomwagia watu usoni wakinunua wanasema kabisa kua wanaenda kufanya hvyo na wanapewa basi na mm ntasema kuna kazi maalumu naenda kufanyia
 
wadau nsaidieni inapouzwa sina lengo la kumwagia mtu bali nataka jufanyia majaribio yangu....asanteni mm nko dar
Mmh... ngoja hii post aione Afande Kova, ili awatume vijana wake waje wakudake hapo ulipojificha ili ukaswekwe ndani ili uisaidie polisi kwa kueleza kama unaitaka hiyo tindikali kwa madhumuni gani!
 
kwani wewe unaogopa polisi?....ukitaka ufankiwe kwenye maisha usiishi kwa kumwogopa mtu ndio MAANA MAJAMBAZI WANAPIGA SANA KAZI
 
mimi nataka iliyotengenezwa tayari kama ambazo wanamwagiwaga watu usoni

iliyotengenezwa tayari....!
Fanya hivi...
Mwambie njemba moja ukupumilie kisogoni,chukua lile bao alilokuachia...!
Liweke juani dakika tano.
Tayari ni mtindi-mkali huo.
 
Nenda karioko mtaa wa gerezani utapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom