Wapi hospitali nzuri kwa Dar ambayo ina ushauri mzuri ugonjwa wa High Blood Pressure

Matukutuku

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
269
126
Wakuu naulizia hospital nzuri ambayo inakushauri vizuri namna ya kupunguza pressure yako. Kwan naona hoapital nyingine ni kama wanakupa madawa tu unywe.

Dawa unakunywa lakin still pressure bado iko juu sasa sijui ni nini hii.

Natanguliza shukrani
 
Dr kisenge yuko muimbil tasis ya Moyo ila ana klinik rabinsia hii ya mbez Beach .. Ila shida kubwa pia inaeza kuwa ww with life style yako nn unakula.au uko na anxiety .. Jarb relaxing methods lyk Meditation and thai o Chinese massage proffesionally ...lastly dawa unazotumia chk out Kama ni generic
 
Acha kuandika kiboya boya hivo.
 
What do u know abt presha ww... Au unaham ya kujibiwa vbaya..... Nmekua mgonjwa for the last 23yrs naish kwa kunywa dawa klasku najua in and out of hypertension....... Uslete politics ktk afya
Siongelei kujua au kutokujua, inawezekana unajua ila ungeandika lugha inayoeleweka. Kuhusu what i know about presha.. najua kuliko ambavyo utakuja kujua maisha yako yote, so karibu kwa ushauri ukipata tatizo. In short you know nothing about hypertension umekariri tu vidawa unavyomeza unakuja kusumbua huku.
 
Sawa sjakataa kukosolewa..... Nlikua najarb kusaidia tu.... Naelewa shida ya kunywa dawa na ugonjwa hautuli hasa presha.. Bcoz most Dr wanatb tibu hali ilioko bila kutaka kujua chanzo cha tatzo.... Nmepitia iyo hali mpka kuja kumpata Dr moja kutoka kenya akagundua extremely anxiety ilopelekea panic attacks akaitb kabak na kumentein presha...... Nafkir nia ni kumsaidia huyu so karb
 
Shukran kwa kunielewa
 
Wakuu naulizia hospital nzuri ambayo inakushauri vizuri namna ya kupunguza pressure yako. Kwan naona hoapital nyingine ni kama wanakupa madawa tu unywe.

Dawa unakunywa lakin still pressure bado iko juu sasa sijui ni nini hii.

Natanguliza shukrani
Umetumia dawa kwa mda gani.? Kwanza itabidi ujue hiyo HTN yako ni primary au secondary. Kama ni primary itabidi ufanye lifestyle change kama kupunguza chumvi,stress,mafuta,kahawa na kufanya mazoezi.
kama ni secondary itabidi watreat kwanza pathology inayokuketea hiyo shida then ndio waendelee kudeal na pressure yenyewe.

Kwa hiyo issue sio dawa tu kuna factors nyingine za kuangalia, ikiwa unameza dawa lakini mambo mengine hayajawekwa sawa hiyo ni sawa na kujaza tumbo tu.

Mi naona ushauri wa kumfuata daktari kwenye clinic yake ya nje ni mzuri maana ukimfata muhimbili pale kunakua na wateja wengi sana hawezi kukusikiliza kwa urefu kiasi hicho.
 
Presha inaua, chukua hatua sahihi kuepuka hatari. fuata maelekezo ya daktari.
 
Umetumia dawa kwa mda gani.? Kwanza itabidi ujue hiyo HTN yako ni primary au secondary. Kama ni primary itabidi ufanye lifestyle change kama kupunguza chumvi,stress,mafuta,kahawa na kufanya mazoezi.
kama ni secondary itabidi watreat kwanza pathology inayokuketea hiyo shida then ndio waendelee kudeal na pressure yenyewe.

Kwa hiyo issue sio dawa tu kuna factors nyingine za kuangalia, ikiwa unameza dawa lakini mambo mengine hayajawekwa sawa hiyo ni sawa na kujaza tumbo tu.

Mi naona ushauri wa kumfuata daktari kwenye clinic yake ya nje ni mzuri maana ukimfata muhimbili pale kunakua na wateja wengi sana hawezi kukusikiliza kwa urefu kiasi hicho.
Asante mkuu Trigeminal kwa ushauri. Pressure yangu sijui kama ni Primary au Secondary kwan mara ya kwanza kabisa ilionekana chanzo ni Cholesteral kuwa juu. Nikaitibu ikaisha kabisa lakin bado pressure iko pale pale inaongezeka.

Dawa nimetumia kama karibia miaka 2 inaenda. Nikitumia dawa pressure inashuka vizuri mpaka labda 130/90. Lakin cha kushangaza juzi nilienda kucheki nikakuta ishafika 190/107 wakati natumia dawa

Lifestyel nishachange kabisa nafanya mazoez ya kawaida tu na ni.wpunguza mavyakula ya wanga kwa wingi sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom