Wapi father X-Mas na zawadi za x-mas!!

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
hi jf members!

heading hapo juu inajieleza, nakumbuka mwaka jana father x-mas kipindi kama hiki alikuwa anagawa sana zawadi za x- mas.......kwa mliopokea nadhan mnakumbuka!!!

Nashangaa sasa hv yupo kimya tu, father x-mas tafadhali jitokeze watu tupo twasubiri hizo zawadi zako.....au umefulia father, basi toa hata taarifa ili tujue!!!

 
Makunga asante kwa kuniulizia baba noel wenu.....muda si mrefu nitawagawia mizawadi hadi wenyewe mchanganyikiwe...halafu wewe ni he au she........nauliza ili nijue zawadi itakayokufaa...........

Kuhusu father-xmas kufulia hiyo haiwezekani....................
 
Last edited by a moderator:
Makunga asante kwa kuniulizia baba noel wenu.....muda si mrefu nitawagawia mizawadi hadi wenyewe mchanganyikiwe...halafu wewe ni he au she........nauliza ili nijue zawadi itakayokufaa........... Kuhusu father-xmas kufulia hiyo haiwezekani....................
Dah! bora umejitokeza father......mimi ni she nakumbuka na mwaka jana nilipata zawadi ya heleni..............karibu sana na mizawadi yako,tupo twaisubiri maana sikukuu ndo hiyoooo inapiga hodi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom