Wapi dar es salaam

Sifa unazotaka mwanangu Colisian hazipatikani kwenye maeneo. Muhimu jikunje ufanya utafiti utampata umtakaye. Maana hata neno kujiheshimu ni relative. Sijui kama kuna sehemu duniani yenye watu wema au wabaya watupu. Kama ipo basi ni mbinguni. Ni ushauri tu.
 
Tabia ni ya mtu, haina sana uhusiano na eneo.....pia jicheki na ww, pengine unawatokea nakujifanya pedezjee....lazima watakuchanja tu...!
 
Mwaga vimbwanga vyako hapa jamvini na vigezo gani unavitaka kwa mke mtarajiwa. Unaweza ukabahatika na kupata mchumba hapa jamvini.



nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.
 
Last edited by a moderator:
nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.

mkuu mtaani kwenu, kwenye daladala, nyumbani kwenu, kanisani/msikitini kwenu, facebook, hi5 na unapo fanyia kazi hakuna wasichana? anza na hao. mia
 
kha...sasa hapa jf ndio unaona utapata wakujiheshimu...hapa wote wasanii
 
nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.
poLE SANA MZEE! sijajua dini yako, ila kama wewe ni mkatoliki nakushauli kujiunga na kikundi kiitwacho, NEO KATEKUMINATO. humo kuna wasichana wengi sana wazuri na wanaojituma kimaisha. Nenda kanisa la Upanga, oyetserbay, mwenge, na tegeta.

kama sio mkatoliki basi tafuta rafiki kijamu jamu hivi katika chuo cha ualimu chang'ombe pale hukosi kung'o msichana mzuri. sehemu nyingine ambazo wanwake wa kujituma utawapata kilaini, ni NBAA evening classes. Katika madarasa ya masomo ya jioni ya NBAA kuna wasichana wazuri sana na wenye mwelekeo mkubwa wa kimaisha. wewe jiingize humo halafu wabane katika group study.

mwisho ndugu yangu , vizia katika misiba ya makabila yenu na ya watani wenu. humo namo utazoa kwa wingi tuu.

kila la kheri mzee mwezangu
 
kuna hatari kubwa sana mzee mwenzangu ukajikuta pabaya kimahusiano au hata ki ndoa ya kanisani/msikitini.makabila haya ya , wanyamwezi, wanyaturu,wabungu,wamanyema na wabondei they are wild in bed when you ****y 'em but Be careful to fall into the category of henperkerd husband!
 
nenda kwenye nyumba za ibada utapata mzuri tu wanaomkumbuka Mungu angalau atakufaa ukishindwa nenda posta mpya jioni
 
Lazima atoke Dar? Unaweza hata ukakutana naye kwenye basi, ndege,meli ukisafiri na ukawa ndio mwanzo wa mahusiano ....
 
Kama wewe ni mkristu, nenda kanisani kwa mtume na nabii Mwingira pale Mwenge kwenye kanisa la Efatha tena unaweza ukabahatika ukakuta kila kitu swafi hahahahahaha
 
kaka play strategically unajifungia huko unafikiri utapata mtu wewe nenda kwenye kanisa lolote lile hudhuria jumapili hata tatu hivi lazima ung'oe kitu ukishindwa basi wewe ndo unamatatizo.

pia usimwangalie mtu kama anajiheshimu siku ya kwanza wewe ndo unatakiwa umfanye mtu atulie na ajiheshimu

halafu relax mkuu usionyeshe ndo kama unashida kivilee kuwa na kakiburi kidogo kama mnyaki hivi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom