nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.

poLE SANA MZEE! sijajua dini yako, ila kama wewe ni mkatoliki nakushauli kujiunga na kikundi kiitwacho, NEO KATEKUMINATO. humo kuna wasichana wengi sana wazuri na wanaojituma kimaisha. Nenda kanisa la Upanga, oyetserbay, mwenge, na tegeta.nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.
he!unakuwa bize mpaka hukutani na watu! wewe ni nini unachokutana nacho sana sana?nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.
kha...sasa hapa jf ndio unaona utapata wakujiheshimu...hapa wote wasanii
Msanii peke yako..
kha...sasa hapa jf ndio unaona utapata wakujiheshimu...hapa wote wasanii
Ssshhhhhhhhhh..... Ishia hapo hapo..!!
Usiniharibie, maana nimeshatuma PM kwake.!!