Wapi community air?

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
883
Jamani wana JF, naomba mnisaidie kufahamu je hii kampuni ya ndege ya community air iliishia wapi? Mbona imepotea? Tena baada ya skendo ya richmond kuibuka? Je kuna uhusiano gani. Naomba aliye na tetesi anisaidie.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom