Wapi Arusha naweza kuchongesha funguo ya bajaji aina ya TVS?

EngKingD

New Member
Nov 21, 2020
1
0
Habari,

Kwa Arusha ni wapi nnaezakupata mtu anayechongesha funguo za TVS, nimepoteza mmoja nikabaki na mmoja
 
Habari,

Kwa Arusha ni wapi nnaezakupata mtu anayechongesha funguo za TVS, nimepoteza mmoja nikabaki na mmoja

Kama bado hujafanikiwa kesho tembelea Makao Mapya, juu kidogo ya stand ya vofodi upande wa pili (kushoto kama unapandisha Seliani ila usifike ofisi za mabasi pale) kule ndani maduka ya spare za magari kuna ofisi jamaa ana deal na funguo za vyombo moto.
 
Habari,

Kwa Arusha ni wapi nnaezakupata mtu anayechongesha funguo za TVS, nimepoteza mmoja nikabaki na mmoja
Uende na Loss report ya hiyo funguo ya kwanza.Isije ikawa bajaji siyo ya kwako unataka kuipiga.Ili baadaye bajaji ikipotea tujue tunaanzia wapi upelelezi
 
Back
Top Bottom