wapi anaweza kupata MIN DIV DECK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wapi anaweza kupata MIN DIV DECK?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by leseiyo, Jan 15, 2009.

 1. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #1
  Jan 15, 2009
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kupata min Div deck .ni duka gani ambalo ninaweza kupata Min Div Deck kwa hapa dar es salaam
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Topshop Uhuru Street Kariakoo (Karibu kabisa na Mnazi Mmoja)
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui kuhusu Top Shop kama wana deck ya mini div nitaenda kuangalia.Mini Div Deck ya uhakika, nenda Sony mtaa wa Samora mtaa wa ZanaKI unapoanzia.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ata KVD Posta wanaweza kuwa nayo
   
Loading...