Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

Nenda mlimani dispensary chuo kikuu UDSM kuna daktari mzuri wa watoto anaitwa dr Chacha.. mi mwenyewe mwanangu alisumbuliwa kama hivyo nikazunguka hospital kama mbili hiv namshukuru mungu kwa mkono wa dr huyo alipona after 4days tu.. maana nilikuwa nakesha kumuangalia jinsi anavyopata tabu ya kupumua na kukoroma..
 
Nashukuru kwa Ushauri.

Naomba Majina ya Madaktari wanaopatikana Muhimbili au Aga Khan wa watoto?

Je hawapatikani hospital nyingine?

Naona Kama Muhimbili Beuracracy sana mpaka upate matibabu!

Cha Muhimu jina la daktari wa watoto
Nenda Regency kwa Dr Habinder Sing kila siku kuanzia saa tisa jioni.
 
Back
Top Bottom