Wapi Amerika imetunyonya sisi Tanzania?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wakuu habari!!

Jioni hii nina swali dogo tu naomba kujibiwa ipasavyo.

Kuna baadhi ya Watanzania wachache wamekuwa wakilalamika kuwa Marekani ni wanyonyaji wa rasilimali zetu Tanzania.

Naomba kufahamishwa ni wapi America imeinyonya Tanzania.

Je, kati ya Tanzania na USA ni nchi gani inaomba uwepo wa mwenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayedai Marekani inainyonya Tanzania ni mbumbumbu tu aliyekaririshwa ujinga na wanasiasa wanaotafuta kisingizio cha kushindwa kutimiza majukumu yao na kuiacha nchi ikiwa fukara wa kutupwa.

Marekani wana historia ndefu ya kupiga kazi, sera nzuri na kuheshimu haki za binadamu, wana kila sababu ya kuwa hapo walipo.
 
Mkuu yaani sisi waafrika tunaumizwa na wanasiasa ndio wanatupotosha sana kwa maslahi yao binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA awaze kupambana na akina Urusi,Irani na china aje apambane na dagaa kama sisi ambao hatuna mbele wala nyuma!
 
Mtu anayedai Marekani inainyonya Tanzania ni mbumbumbu tu aliyekaririshwa ujinga na wanasiasa wanaotafuta kisingizio cha kushindwa kutimiza majukumu yao na kuiacha nchi ikiwa fukara wa kutupwa.

Marekani wana historia ndefu ya kupiga kazi, sera nzuri na kuheshimu haki za binadamu, wana kila sababu ya kuwa hapo walipo.
Nenda kasome, how Microprocessor work, alafu uje uulize tena swali hapa.

Tumechoka kuchat na watu wa darasa la tatu B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom