Wapenzi wa Tamthilia ya JAMAI RAJA tujuane

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana jf,hii ni thread maalumu kwa ajili ya wapenzi wote na wafatiliaji wa tamthilia pendwa inayooneshwa na Azam Tv katika channel yake ya Azam 2 kila saa 3 na nusu usiku juma tatu hadi ijumaa. Kama wewe unaifuatilia basi huu uzi utakuwa unakuhusu maana tupo hapa kwa ajili ya kujuzana vitu tofauti tofauti vya kwenye tamthilia hiyo sio siri namkubali sana Roshni na Siddat Kukraje sijuwi wewe mwenzangu unamuelewa nani kwenye tamthilia hiyo
FB_IMG_1527005177347.jpg
 
Huyu demu anawakilisha kundi lote la wanawake duniani hii inaonyesha ni kwa namna gani wanawake ukiwakosea ni ngumu sana kukusamehe na ndivyo walivyo
 
Back
Top Bottom