Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.

Basi tutumieni hili jukwaa kupashana yanayojiri in case mmoja wetu amepitwa siku hiyo.

5353113_orig.png
 
cheki hapa kwenye hii site yao am sure utapata latest details (binafsi huwa siangalii)
Home

Nimeona wana twitter na Facebook account unaweza uka-join na kubadilishana mawazo as well as getting teasers za coming episodes
 
wewe unamkaribia frank xavier?

Tunao waandishi kibao wazuri tuu wa habari za uchunguz, naomba nisiwataje, wasije waka wau uli.

Zamani hata mimi nilikuwa Investigative Journalist, kwa sasa ni producer mostly niko behind the camera ila inapobidi. Ya mwisho nimefanya wakati wa mgomo wa madaktari, watu wamepoteza maisha na hakuna aliyewajibika!, masikini Watanzania kwanza hatujui haki zetu in case of death due to negligence na hata kwa wanao jua, gharama ni kubwa kuajiri wakili na kwa sheria zetu, hatuna pro bono!. Mwisho wa kipindi nilisisitiza lazima serikali iwajibike na kulipa fidia!. Program ilikataliwa na ku end up in my shelves!.

Tukirudi kwenye Isidingo, mimi ni mgonjwa, nilianza na Egoli, sasa niko na Isidingo, nikimiss jioni, kesho yake siondoki home mpaka saa 4 baada ya marudio, nikimisi, nasubiria Jumamosi usiku, au Jumapili asubuhi.

Ninamfahamu hadi mke halisi wa Pearsons, anaitwa Nadipha anafanya kazi Holiday Inn ya Santon town. Studio zao ziko opposite na Millband Hospital alipolazwa Kibanda.
Pasco
 
Afadhali hawakuitoa, manake ungeishia kung'olewa meno aisee.

Nilianza kuangalia isidingo mwaka 1994 baada ya kushtuliwa na mpwa wangu mmoja. For the past three years sijaiangalia kabisa manake napata chanel ya kitz moja tu, your crappy tbc1. Nashukuru sasa na walau star tv. Ila si haba nafuga addictions zingine kama rythim city, scandal na jacob's cross. Hadi aibu kusema aisee. Ila wenzetu wa SA wako mbali sana kwenye uigizaji. Ukiangalia hii scandal ( inaonyeshwa etv saa mbili na nusu EAT jumatatu hadi alhamis, utapata raha sana. Inazunguka kwenye maisha ya wafanyakazi kwenye media.

Kuna website ya isidingo, unaweza kuinterract nao moja kwa moja.

Back to tz journalism, inasikitisha kwa kweli. Nikuambie tu kuwa uandishi wa habari, kama upolisi na ualimu; vimedharaulishwa na serikali na mifumo duni ya elimu. Zimekuwa kada for failures. Rafiki yangu anaandikia reuters from tz, anasoma some digree course hapo mikocheni somewhere. Yuko busy na kazi na shule yenyewe anasema hata akikurupuka usingizini akapewa mitihani anafaulu tu. huwa haingii class kabisa! Kitu kinachosikitisha kuwa hata hao waandishi wa digirii wanakuwa wamesoma nini sasa? Na ndo ukijitia kihedemshede cha investigative journalism unaishia kuwa kina kibanda na wakikupendelea unakuwa jerry muro! pasco,
 
Kwetu sisi wafuatiliaji, kuna anayejua sababu ya tamthilia hii kurudiwarudiwa siku za karibuni? ndo imeisha au? tafadhalini wajuaji wa hili tupeni taarifa wakereketwa;
By the way, I cant imagine kwa investigative journalist kama Frank Xavier angekuwa Bongo ingekuwaje! nahisi angeshang'olewa mpaka mapafu yote.
mwenyewe nimekereka.na sio isidingo tu.hata ile ya jack baur.(24)
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom