Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Nini kimempata mzazi wa Thabang pande za fasi ya bondeni mkuu wangu ?
Nina amembana mbavu vibaya mno anataka ampe utaalamu 'dumba' wa kumfanya kuwa tajiri japo Gatanga anadai dumba zake ni za matibabu tu na Nina kamuonya Kama kaweza kumtibu basi anaweza kumrudisha kwenye hali ya kuwa mahututi Kama mwanzo.
 
Aiseee. Ngoja niwe mvumilivu. Mimi huwa naiangalia yote ile jumamosi usiku.
 
Aiseee. Ngoja niwe mvumilivu. Mimi huwa naiangalia yote ile jumamosi usiku.
Hatimaye Gatanga amemfanyia Nina mazingaombwe ili aimarishe biashara yake lakini ghafla anaonekana kapagawa na kuongea hovyo huku hali yake ikionekana sio nzuri huenda mizimu imekataa kumtajirisha Nina hilo tukio limemfanya Nina kuingia hofu.
 
Mikosi imeanza kumuandama Nina huku Lincoln na Kgothalo wakipanga kumshikisha adabu kwa alichomfanya Nikiwe,huyu Lalage ameota mapembe kaamua kumfukuza ndugu yake Wendy.
 
Lincoln kaamua kumkomesha Nina.Hendrick anapewa wazo la kuanzisha biashara naona kachoka nyodo za Lalage japo mkewe ameshaongea na Ntando ambae kaahidi kufuatilia suala lake😂😂😂😂.Gatanga na mwanawe wamefanyiwa fujo na Cebisa na wahuni wa Nina japo Kuna walakini Kama yule Sangoma amefanikiwa kuutuliza mzimu wa Hector 😔😔😔.
 
Ila Gatanga nae alikubali kwa nina kuwa hatotoa ile siri ila alivyoweza kusimama tu sehemu ya kwanza kwenda kwa masela kuvujisha siri na sasa ndio anaropoka tu sijui alikuwa anamchukulia Nina poa.
 
Back
Top Bottom