DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nini kimempata mzazi wa Thabang pande za fasi ya bondeni mkuu wangu ?Naona msaada wa Nina kwa Gatanga umegeuka shubiri chungu!
Nini kimempata mzazi wa Thabang pande za fasi ya bondeni mkuu wangu ?Naona msaada wa Nina kwa Gatanga umegeuka shubiri chungu!
Nina amembana mbavu vibaya mno anataka ampe utaalamu 'dumba' wa kumfanya kuwa tajiri japo Gatanga anadai dumba zake ni za matibabu tu na Nina kamuonya Kama kaweza kumtibu basi anaweza kumrudisha kwenye hali ya kuwa mahututi Kama mwanzo.Nini kimempata mzazi wa Thabang pande za fasi ya bondeni mkuu wangu ?
Aiseee. Ngoja niwe mvumilivu. Mimi huwa naiangalia yote ile jumamosi usiku.Nina amembana mbavu vibaya mno anataka ampe utaalamu 'dumba' wa kumfanya kuwa tajiri japo Gatanga anadai dumba zake ni za matibabu tu na Nina kamuonya Kama kaweza kumtibu basi anaweza kumrudisha kwenye hali ya kuwa mahututi Kama mwanzo.
Hatimaye Gatanga amemfanyia Nina mazingaombwe ili aimarishe biashara yake lakini ghafla anaonekana kapagawa na kuongea hovyo huku hali yake ikionekana sio nzuri huenda mizimu imekataa kumtajirisha Nina hilo tukio limemfanya Nina kuingia hofu.Aiseee. Ngoja niwe mvumilivu. Mimi huwa naiangalia yote ile jumamosi usiku.
Daah Nina hafai kbsHatimaye Gatanga amemfanyia Nina mazingaombwe ili aimarishe biashara yake lakini ghafla anaonekana kapagawa na kuongea hovyo huku hali yake ikionekana sio nzuri huenda mizimu imekataa kumtajirisha Nina hilo tukio limemfanya Nina kuingia hofu.
Hùyo jamaa aliitwa hector,alikuwa msaidizi wa Nina lkn akaja kutoa siri Nina akamshotJamani Gatanga anamzungumzia MTU gani alieuwawa hapo shebeen ambae roho yake bado inatapatapa haijafa??
Jumamos marudio si mpaka usiku sana tena ya wiki nzima.nimeikosa wiki nzima? siamini!
nasubiri marudio kesho kwa raha zangu.
Wasipoolewa na mimi au wewe au yule hao warembo wataolewa na nani mkuu ?Kudate warembo kama Kgothalo ni kujitafutia magonjwa ya moyo na presha zisizo na lazima hao warembo sio wa kuoa.
Saa 5 usiku hadi saa 7 usikuJumamos marudio si mpaka usiku sana tena ya wiki nzima.
Waoaji hawakosekani hata siku moja maana "ukiona cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini" binadamu tumetofautiana.Wasipoolewa na mimi au wewe au yule hao warembo wataolewa na nani mkuu ?
Inahitaji moyo muda huo bora usubiri jumapili tu asubuhi.Saa 5 usiku hadi saa 7 usiku
Mara nyingi nikijaribu kuangalia muda huo huwa nasinzia sana.Inahitaji moyo muda huo bora usubiri jumapili tu asubuhi.