Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hii Tamthilia Bado Ipo Tu? Namiaka Mingi Xana Siangaligi Tv,,,inanikumbusha Enzi Za Kina "The Bold And The Beautiful" , Passions e,t,c
 
dah nzinga is gone!
zandre nae kadata kisa seline
huyu mtoto mzuri mgeni lungi ni bonge moja la dem ataanza kazi bokamoso ila dah atakuwa chakula ya lincoln..
nilijua tu toka mwanzo nina anatafuta kitu kupitia gatanga.
hatoagi bure msaada
Proved wapi mkuu
 
dah nzinga is gone!
zandre nae kadata kisa seline
huyu mtoto mzuri mgeni lungi ni bonge moja la dem ataanza kazi bokamoso ila dah atakuwa chakula ya lincoln..
nilijua tu toka mwanzo nina anatafuta
kitu kupitia gatanga.
hatoagi bure msaada
Proved wapi mkuu
👊👊👊...huyo demu yuko vizuri eeeeh naona Kgothalo amemtafutia Sechaba mtu wa kumliwaza 😂😂 😂 japo na yeye kaamua kumbania Ntando ila huenda akalegeza kamba.
 
noma mkuu yule dem lungi
atakuja kuwa mke wa lincoln
kg wanataka wampe nafasi ya ntando ya mwanzo. anapiga chenga yeye.
anja naona kashika adabu hajaja tena penthouse.
clive uko selo kakutana na dada powa humo ndani kaingiaje uyo dada
Proved
 
Huyu Lungi yupo vizuri aisee! Naona ameanza kazi Bokamosso kwa Kasi. Kifo cha Seline kimemvuruga Zandre mpaka Hendrick kahisi huenda Kuna kitu kilikuwa kinaendelea kati ya mtoto wake na Marehemu Seline.
 
Daah leo nimechelewa mkuu nimeikosa.
Nimemkosa mtoto mkali lungi. 😠😠

Nasubiri marudio kesho kutwa

Kwani Hendrick si alikuwa anajua kama zandre alikuwa anadate na Seline ama??
 
Daah leo nimechelewa mkuu nimeikosa.
Nimemkosa mtoto mkali lungi.

Nasubiri marudio kesho kutwa

Kwani Hendrick si alikuwa anajua kama zandre alikuwa anadate na Seline ama??
Tunaweza kupata mawasiliano ya Lungi ? Nilibahatika kupata namba za Aphiwe so namcheki siku moja moja.
 
inaonekana seline alikuwa anamfinyia ndani zandre! maana jamaa kadata. et anataka kwenda jela kumchoma kisu clive! haha

kg mahusiano yake yote matatu yamevunjika sababu ya nyodo zake.
kama alivofanyiwa rajesh. akikuchoka anaktafutia ki sababu.

ni muda wa gatanga kulipa vya nina.. mpaka thabang kastukia mchezo ding anajfanya kchwa ngumu..

nimemuona dem wangu lungi leo
ndani ya night dresss yoo!
 
Wana humu ndani mbona wenge limepoa sana. Huko fasi ya forums nyingine mnatimba lakini humu mmepalia buyu. Aisee sio mpango wala nini wanangu.

Mnasalimiwa na sana na mtoto mkareee fasi ya yellow bone pale BOKAMOSO Lungi mwenyewe mjengoni.
 
Naona msaada wa Nina kwa Gatanga umegeuka shubiri chungu!😂😂😂
 
Back
Top Bottom