👊👊👊...huyo demu yuko vizuri eeeeh naona Kgothalo amemtafutia Sechaba mtu wa kumliwaza 😂😂 😂 japo na yeye kaamua kumbania Ntando ila huenda akalegeza kamba.dah nzinga is gone!
zandre nae kadata kisa seline
huyu mtoto mzuri mgeni lungi ni bonge moja la dem ataanza kazi bokamoso ila dah atakuwa chakula ya lincoln..
nilijua tu toka mwanzo nina anatafuta
kitu kupitia gatanga.
hatoagi bure msaada
Proved wapi mkuu
na wewe unahitaji ?Aiseeeeee.......
Yale mavazi kwa SA ni ya kawaida hasa kwenye makazi kama yale ya LincolnHalafu Anja na wenzie walikuja wamevaa vinguo vya ajabu kabisa(swimming costumes)ilhali wanajua uncle Linc ni mgane!
Hapana mkuu.na wewe unahitaji ?
Hata sijamkumbuka Ntando,vile vivazi sio aseeemzee aliwachora tu hasa yule wa mwisho ana mzigo wa haja.
pia naona linc anaweza akapita hata anja au mamake.
sidhani kama anja atakuja tena maana mamake kamzingua..
fikiria ntando mwenyewe nae yupo singo halafu angewakuta vile. dah
Daah leo nimechelewa mkuu nimeikosa.Huyu Lungi yupo vizuri aisee! Naona ameanza kazi Bokamosso kwa Kasi. Kifo cha Seline kimemvuruga Zandre mpaka Hendrick kahisi huenda Kuna kitu kilikuwa kinaendelea kati ya mtoto wake na Marehemu Seline.
Tunaweza kupata mawasiliano ya Lungi ? Nilibahatika kupata namba za Aphiwe so namcheki siku moja moja.Daah leo nimechelewa mkuu nimeikosa.
Nimemkosa mtoto mkali lungi.
Nasubiri marudio kesho kutwa
Kwani Hendrick si alikuwa anajua kama zandre alikuwa anadate na Seline ama??
acha wee..Tunaweza kupata mawasiliano ya Lungi ? Nilibahatika kupata namba za Aphiwe so namcheki siku moja moja.
Maisha bila mzaha yanaboa mkuuacha wee..
wee kwa mzaha ndo kawaida yako
Zandre kachanganyikiwa aisee
Yamezidi maringo au nyege ?Zandre kachanganyikiwa aisee huyu Seline alikuwa anampa nini? Kgothalo naye maringo na nyodo zimezidi Sasa
Kudate warembo kama Kgothalo ni kujitafutia magonjwa ya moyo na presha zisizo na lazima hao warembo sio wa kuoa.kg mahusiano yake yote matatu yamevunjika sababu ya nyodo zake.
kama alivofanyiwa rajesh. akikuchoka anaktafutia ki sababu.
👊👊👊👊nimemuona dem wangu lungi leo
ndani ya night dresss yoo!
Naona msaada wa Nina kwa Gatanga umegeuka shubiri chungu!😂😂😂Wana humu ndani mbona wenge limepoa sana. Huko fasi ya forums nyingine mnatimba lakini humu mmepalia buyu. Aisee sio mpango wala nini wanangu.
Mnasalimiwa na sana na mtoto mkareee fasi ya yellow bone pale BOKAMOSO Lungi mwenyewe mjengoni.