Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.
najuta kukosa aseeh zandre nae kiherehere chake. yeye kapewa ruhusa amle Seline sio kuingilia issues zao..
nna imani hatorudia tena 😂😂
 
Clive mshenzi Sana! Unamyongaje mtoto mzuri Kama Seline? Japo wanawake bhana...kwani lazima umwambie mtu umemuitia polisi si unatulia tu ashtuke muda anakamatwa.
 
nashangaa mkuu Seline angenyamaza tu na kumuacha Clive atoke. akutane na polisi nje..
nahisi Seline anakufa kweli 🤔🤔
kaghotalo nae kalegeza uzi huko..
 
Ila mkuu mapenzi yanaumiza Sana, mtoto wa kike uvumilivu umemshinda kaona jamaa kamuharibia kaamua kumchana sema ndio hivyo kakutana na balaa.
Hapo kwa Kgothalo naona busara za Mzee (Lincoln) zimechangia.
 
mapenzi sio mchezo mkuu
Seline alimpenda sana Clive. sema Clive alitaka vyote kwa pupa, kakosa vyote sasa angefocus kwenye kazi yake Kama mwanzo yasingetokea haya..

kaghotalo nae ana hasira na ntando sema kweli bila Lincoln asingelegeza uzi.. now business ipo kwa table..
 
Daah Seline wangu ashadedishwa mwweeh
Clive mshenzi sana
Naomba akutane na Lincoln kwenye anga zake
 
rip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)

naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.

anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
 
Anja akili zake huwa anazijua mwenyewe
Ina maana kat anaweza kudate na sechaba?
 
rip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)

naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.

anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
Clive kwisha habari yake!! ila Kgothalo ana tabia zote za wanawake wasomi waliofanikiwa, yeye anajali tu kuendeleza hadhi yake bila kukubaliana na hali halisi anaona Ntando anamharibia makusudi ili ampiku.
 
ndio ndo shida ya kudate na msomi. humdanganyi kizembe.
lakini mbona kg kaingiza hasira za kibiashara mpka kwenye mapenzi??
 
rip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)

naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.

anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
Halafu Anja na wenzie walikuja wamevaa vinguo vya ajabu kabisa(swimming costumes)ilhali wanajua uncle Linc ni mgane!
 
mzee aliwachora tu hasa yule wa mwisho ana mzigo wa haja.
pia naona linc anaweza akapita hata anja au mamake.
sidhani kama anja atakuja tena maana mamake kamzingua..

fikiria ntando mwenyewe nae yupo singo halafu angewakuta vile. dah
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom