Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,521
- 34,824
Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.Mkuu Leo sijaangalia nipe mbili tatu zandre kapewa kichapo na Clive nini??