Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

ule usemi wa usiishi na mke mwenye kazi umejidhihirisha kwa hendrich mwenyewe dah

clive yupo kwenye mtihani mzito.
sechaba nae kanifurahisha sana eti
"naona vi~slayqueen vinaingia na kutoka humu hotelini" hahaha
 
Nina ni mwanamke hatari mno sijui anataka kumrusha Clive pesa.
 
Kuna sehemu sijaelewa Clive zile pesa anaziiba pale hotelini? Na malengo yake ni nini naomba mnisaidie
 
Clive ataumbuka muda si mrefu ila kwa Ntando utata mtupu sijajua anafanya makusudi au?
itakuwa kuna kitu maana jana alikuwa anaongea na dingi yake.. ila hawakuonesha mtu aliyetaja ila aliuliza tu who?? halafu akacheka baada ya jibu. 🤔🤔
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom