Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?
 
.
IMG_20190714_073628.jpeg
 
Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?
kweli sibiya ndo mastermind wa yote.. nao wenzake kawashika akili. sasa wakichoma mgodi kazi watapata wapi??
makgolometsa nae ni anakataa huku anakubali.. kakwama uko kwenye kifusi hadi kuna sehemu aliongea zaburi ya mfalme daudi. hahaha kile kipande bwana
 
anja kapewa na linc headphone za ntando.
huyu clive sio mtu mzuri kabisaa
ntando na kaghotalo penzi penzini!
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom