Wamerudia tena.Vp leoLeo vp wameendelea au kama kawaida wamerudia?
Ah hawa majamaa sijui hata matatizo gani yanayowafanya warudie au ni kusudi tu.Wamerudia tena.
Yaonekana mzee Mengi kaondoka na station yake. Inakera kishenzi.
Nimekereka sana.Pesa tatizo. Mirathi si mchezo mgawo mpaka kila mhusika apate na bado mishahara ya wafanyakazi bila kusahau kulipia kibali cha kuonyesha isidingo
Pesa tatizo. Mirathi si mchezo mgawo mpaka kila mhusika apate na bado mishahara ya wafanyakazi bila kusahau kulipia kibali cha kuonyesha isidingo
hamieni youtube wapendwa
Kwenye utube ni episode ya ngapi kwa itv imefika?
Mrembo Numby njoo nyumbani kwangu Kigamboni, tuwe tunaangalia wote.Sijafatilia siku nyingi isidingo ila kwa updates za humu nahisi mpo isidingo 21 episode 126. Anza kutafuta hapo kama ipo mbele sana anzia episode 120
Mrembo Numby njoo nyumbani kwangu Kigamboni, tuwe tunaangalia wote.
Sina magunia ya mkaa
Kukukaribisha Kigamboni ni kukosa heshima ?Nachukulia umechanganya hii. Jiheshimu MkuuView attachment 1169054
Kukukaribisha Kigamboni ni kukosa heshima ?
Kwa heshima na taadhima nakukaribisha mrembo Numby uje kigamboninoYeah
Wamerudia kila kitu week nzimaHao ndio itv
Mi nilijua tu ndio maana wiki nzima nikawapotezea.Wamerudia kila kitu week nzima