Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 744
Tusubir tu marudioMwenye kujua jinsi ya kutafuta utube episode ya leo atuambie
Tusubir tu marudioMwenye kujua jinsi ya kutafuta utube episode ya leo atuambie
Kile kitendo cha Morongwa kilinifanya nijiulize hawa weusi wa SA. Wana akili timamu kweli??????Yule sijui Morongwa na wenzie wamevurugwa kweli yani wao hawana wanachofanya kuwasaidia wenzao ila wamebaki kulalamikia ubaguzi.
Hiyo tabia wanayo sana watu weusi....hata hapa kwetu unaiona kwa watawala...wakishindwa jambo hutafuta visingizio....ukisikia wanalaumiwa mabeberu jua kuwa ni wazungu wanaolengwa...Yule sijui Morongwa na wenzie wamevurugwa kweli yani wao hawana wanachofanya kuwasaidia wenzao ila wamebaki kulalamikia ubaguzi.
Okay....Nimeona kuna binti wa scandal ataingia isìdingo km binti Sebeko
Yeah hata mimi nawaona,hasa Katlego na ujanja wakeOkay....
I have seen Nikiwe Sibeko kwenye Rythm City, Katlego Sibeko kwenye Scandal na mara moja Rajesh Kumar kwenye IMBEWU
Kwenye IMBEWU kuna mdada anaitwa Ma Zulu....alicheza ile famous movie ya apartheid struggle ikiitwa Sarafina...naye ndiye Sarafina mwenyewe...jina halisi Lelethi KhumaloYeah hata mimi nawaona,hasa Katlego na ujanja wake
Ingrid ndio ataingia sebeko family
Hivi mnaangalia ya wapi? kwny ITV? Maaake mi huwa naangalia currently kupitia utube...Write your reply...
nilipotea kidogo mwenye update plz
akili kubwa lincoln vipi?
na sibiya nae vipi? oaskia kateka sibeko tower?
Type ,isidingo...zitakuja episode kibao utaangalia ambayo we hujaonaTusubir tu marudio
Sarafina namkumbukaKwenye IMBEWU kuna mdada anaitwa Ma Zulu....alicheza ile famous movie ya apartheid struggle ikiitwa Sarafina...naye ndiye Sarafina mwenyewe...jina halisi Lelethi Khumalo
tunaangalia ya itv mkuu wapo nyuma miezi 7 kule sabcs wapo mbele sanaHivi mnaangalia ya wapi? kwny ITV? Maaake mi huwa naangalia currently kupitia utube...
Hiyo ya kuvamia ya muda sn mbona!
Duh hiyo siiwezitunaangalia ya itv mkuu wapo nyuma miezi 7 kule sabcs wapo mbele sana
aaah huko mbele si naskia hendrich is dead? dah sijui itv tutafika lini?Duh hiyo siiwezi
Sio miezi tu almost a year !
Mi naangalia ya kila siku!
Hawana akili kabisa na ni real wanavyo bagua weusi wenzaoKile kitendo cha Morongwa kilinifanya nijiulize hawa weusi wa SA. Wana akili timamu kweli??????
Kumbe Lerato mawigi huwa yanamsaidia kuficha komwe.