Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Yule sijui Morongwa na wenzie wamevurugwa kweli yani wao hawana wanachofanya kuwasaidia wenzao ila wamebaki kulalamikia ubaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Eco
Write your reply...
nilipotea kidogo mwenye update plz
akili kubwa lincoln vipi?
na sibiya nae vipi? oaskia kateka sibeko tower?
 
Yule sijui Morongwa na wenzie wamevurugwa kweli yani wao hawana wanachofanya kuwasaidia wenzao ila wamebaki kulalamikia ubaguzi.
Hiyo tabia wanayo sana watu weusi....hata hapa kwetu unaiona kwa watawala...wakishindwa jambo hutafuta visingizio....ukisikia wanalaumiwa mabeberu jua kuwa ni wazungu wanaolengwa...

Hizi tamthilia zinaakisi jamii zetu zilivyo.
 
Yeah hata mimi nawaona,hasa Katlego na ujanja wake
Ingrid ndio ataingia sebeko family
Kwenye IMBEWU kuna mdada anaitwa Ma Zulu....alicheza ile famous movie ya apartheid struggle ikiitwa Sarafina...naye ndiye Sarafina mwenyewe...jina halisi Lelethi Khumalo
 
Write your reply...
nilipotea kidogo mwenye update plz
akili kubwa lincoln vipi?
na sibiya nae vipi? oaskia kateka sibeko tower?
Hivi mnaangalia ya wapi? kwny ITV? Maaake mi huwa naangalia currently kupitia utube...
Hiyo ya kuvamia ya muda sn mbona!
 
Kwenye IMBEWU kuna mdada anaitwa Ma Zulu....alicheza ile famous movie ya apartheid struggle ikiitwa Sarafina...naye ndiye Sarafina mwenyewe...jina halisi Lelethi Khumalo
Sarafina namkumbuka
Ana ugonjwa ngozi ambao hauna tiba
 
1145780
 
Write your reply...
Dah Ben Kapatikana Anatia Huruma Mnoo
Ila Morongwa Nae Kavurugwa Eti
 
Back
Top Bottom