Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ianze nyingine ili tuliozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Wewe hujui Isidingo sio kama Telemundo, ukiamua kuifuatilia ndani ya muda mfupi tu unaelewa. Muundo wa hadithi yake ni wa matukio ya kila siku ndani ya Horizon Deep
 
Sasa ni kuhamia st novela kule ni tamthilia Kwa kwenda mbele.
Kuna kipindi walikuwa wanaonyesha moja inaitwa fatmagul aisee mule wamecheza alaf ni ya kituruki
Au ile ya white slave daah, mista sio mpenzi Wa tamthilia lakini ile alikuwa anaifatilia mpaka ratiba anajua inaanza saa ngapi
 
Fata Magul ni Fox Life mkuu sio St Novela
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom