Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Races zao si zinafanana. kwanni ahisi kubaguliwa ?
Race hazifanani Lalage ni Mzungu na Celine ni half cast.Kwa SA wana waita coloured na Kwa US halfcast Anaitwa black.Nao wanajiconsider black while Kibongo bongo ni tofauti.So Celine Aliiba kama amebaguliwa na Lalage.
 
Huyu Clive ni wali waliwa itakuwa! Au Mimi ndio simuelewi?
Clive na Seline sioni kama ni watu wazuri. Maana wote wanatumia majina bandia. Jana Clive kasahau kamwita Seline jina lake halisi japo nimelisahau. Kama vile Mellisa ama Merissa. Sijui hasa nia yao kwa Zandre ni nini. Na isidingo nao wameshaanza kuact kama wabongo,hivi Sibiya na kulewa kule anaweza ruhusiwa kuingia kwa CEO kweli?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Haaaa sibiya alijifanya mbabe kufika kule kakabwa mwenyewe kaita securityyy maana aliona Ben hatanii
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom