Kihoronge
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 538
- 690
Yawezekana pia. Akitaka kumlipizia alichofanya mama yake Zandre kwa Seline.Ila yule demu simwamini sana anaweza kuwa na njama.
Yawezekana pia. Akitaka kumlipizia alichofanya mama yake Zandre kwa Seline.Ila yule demu simwamini sana anaweza kuwa na njama.
Alimfanya nini ?Yawezekana pia. Akitaka kumlipizia alichofanya mama yake Zandre kwa Seline.
alikataa kazi seline pia alitaka ushosti lalage hakutaka chochote alikataaAlimfanya nini ?
Akampelekea na zawadi lakini yule mama akaitolea nje. Seline kilimuuma sana.alikataa kazi seline pia alitaka ushosti
Ndio nachofikiri maana aliapa kumlipiza na ndipo alipoanza kumfuatilia Zandre.Yawezekana pia. Akitaka kumlipizia alichofanya mama yake Zandre kwa Seline.
Alihisi alimbagua.alikataa kazi seline pia alitaka ushosti lalage hakutaka chochote alikataa
Leo Clive kampiga Zandre kofi la tako,sijaelewa.Ndio nachofikiri maana aliapa kumlipiza na ndipo alipoanza kumfuatilia Zandre.
Races zao si zinafanana. kwanni ahisi kubaguliwa ?Alihisi alimbagua.
Huyu Clive ni wali waliwa itakuwa! Au Mimi ndio simuelewi?Leo Clive kampiga Zandre kofi la tako,sijaelewa.
Race hazifanani Lalage ni Mzungu na Celine ni half cast.Kwa SA wana waita coloured na Kwa US halfcast Anaitwa black.Nao wanajiconsider black while Kibongo bongo ni tofauti.So Celine Aliiba kama amebaguliwa na Lalage.Races zao si zinafanana. kwanni ahisi kubaguliwa ?
Clive ni rijali but anajaribu kumdisappoint Zandre Ili asiendelee Kuwa na Celine.Though Yeye Ndio aliyeleta wazo wawe wote watatu kwenye mahusiano.Huyu Clive ni wali waliwa itakuwa! Au Mimi ndio simuelewi?
Clive na Seline sioni kama ni watu wazuri. Maana wote wanatumia majina bandia. Jana Clive kasahau kamwita Seline jina lake halisi japo nimelisahau. Kama vile Mellisa ama Merissa. Sijui hasa nia yao kwa Zandre ni nini. Na isidingo nao wameshaanza kuact kama wabongo,hivi Sibiya na kulewa kule anaweza ruhusiwa kuingia kwa CEO kweli?Huyu Clive ni wali waliwa itakuwa! Au Mimi ndio simuelewi?
Ahahhhaa nami nimeshangaa sanaLeo Clive kampiga Zandre kofi la tako,sijaelewa.
Nahis kuna kitu kati ya Clive na celinAhahhhaa nami nimeshangaa sana
Haaaa sibiya alijifanya mbabe kufika kule kakabwa mwenyewe kaita securityyy maana aliona Ben hataniiClive na Seline sioni kama ni watu wazuri. Maana wote wanatumia majina bandia. Jana Clive kasahau kamwita Seline jina lake halisi japo nimelisahau. Kama vile Mellisa ama Merissa. Sijui hasa nia yao kwa Zandre ni nini. Na isidingo nao wameshaanza kuact kama wabongo,hivi Sibiya na kulewa kule anaweza ruhusiwa kuingia kwa CEO kweli?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Haaaa sibiya alijifanya mbabe kufika kule kakabwa mwenyewe kaita securityyy maana aliona Ben hatanii