Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Samahani hivi hapa mnaangalia ile inayorushwa ITV?

Ila wapo nyuma sana ,wanonyesha ya last year!

Mi mdau wa isidingo,lakini naangalia kwa u-tube hii ambayo ni current
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom