Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Familia itakuwa imetekwa na Benjamin nahisi
Hapana
Sibiya alikuwa anaongea na mkewe waondoke pale walipokuwa kuna sehemu ipo salama
Mkewe alikuwa anabisha mwishowe akakubali kuondoka
Ndio imekuwa nafuu
Ndio maana watu wa nina wamewakosa
 
Hapana
Sibiya alikuwa anaongea na mkewe waondoke pale walipokuwa kuna sehemu ipo salama
Mkewe alikuwa anabisha mwishowe akakubali kuondoka
Ndio imekuwa nafuu
Ndio maana watu wa nina wamewakosa
Exactly, wasingehama wangekamatwa ...
 
Back
Top Bottom