Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Fafanua kidogo
Lincoln anamtuhumu Gatanga kwamba ndiye anayemloga kwa kuwa alifukuzwa kazi SG.
Nina akamwambia Lincoln kwamba Gatanga ni mchawi kweli kwani alipokuwa anamlipia matibabu alikuwa anamuibia fedha zake kichawi na amemshauri atafute Sangoma amuague.
Nina ameongea na yule mchawi wake wanayeshirikiana kumloga Lincoln ndio aende akamuague ili wamshughulikie Lincoln vizuri wakati huo huo hata mtoto wa Gatanga anamtuhumu baba yake eti anamloga Lincoln na Gatanga anashangaa kwanini anaangushiwa lawama na kila mtu.
 
Kwenye hiyo situation Lincoln atatoboa kweli ?
 
Yupo njia panda maana anaonekana kama ameingia kwenye mtego wa Nina.
Sawa

Hiyo ni current situation. Je huko mbele ataweza kumshinda Nina na mganga wake ?

Ila wa Sauzi Afrika kama walivyo waafrika wengi wanaamini sana ushirikina. Sijui shida nini.
 
Yaan Nikiwe au Kat wakisikia Lincoln anavyomuamini Nina watashangaa sana
Maana Nina ni snake na ameweza kumuaminisha lincoln
Sema nahisi Nina atashindwa maana mganga wake anamuogopa gatanga
 
Ila inashangaza jinsi Lincoln amenasa kirahisi mno kwenye mtego wa Nina! Gatanga naye anaonekana mbaya kwa kila mtu mpaka mtoto wake hamuamini baba yake.
 
Tatizo la wenye pesa kudharau wasio nacho
Lkn inaelekea Gatanga baadae atakuwa msaada
Ya jioni lincon ataanza kuumwa uchawi
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom