Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,539
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,539 2,000
clive!
matatizo juu ya matatizo..
ntando nae kakimwagia kitumbua mchanga..
 
Abbitto

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
382
Points
500
Abbitto

Abbitto

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2019
382 500
Kuna sehemu sijaelewa Clive zile pesa anaziiba pale hotelini? Na malengo yake ni nini naomba mnisaidie
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,539
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,539 2,000
Clive ataumbuka muda si mrefu ila kwa Ntando utata mtupu sijajua anafanya makusudi au?
itakuwa kuna kitu maana jana alikuwa anaongea na dingi yake.. ila hawakuonesha mtu aliyetaja ila aliuliza tu who?? halafu akacheka baada ya jibu. 🤔🤔
 
yule ni Nunda toka kitambo itakuwa ni mambo yake na NIna au kaona kinanuka soon so anaweka akiba asepe!.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,416
Points
2,000
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,416 2,000
Mkuu Leo sijaangalia nipe mbili tatu zandre kapewa kichapo na Clive nini??
Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,539
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,539 2,000
Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.
najuta kukosa aseeh zandre nae kiherehere chake. yeye kapewa ruhusa amle Seline sio kuingilia issues zao..
nna imani hatorudia tena 😂😂
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,416
Points
2,000
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,416 2,000
Clive mshenzi Sana! Unamyongaje mtoto mzuri Kama Seline? Japo wanawake bhana...kwani lazima umwambie mtu umemuitia polisi si unatulia tu ashtuke muda anakamatwa.
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,539
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,539 2,000
daah Clive usimuue Seline tafadhali.. 😠
polisi wanakusubiri nje kumbuka..
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,539
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,539 2,000
Clive mshenzi Sana! Unamyongaje mtoto mzuri Kama Seline? Japo wanawake bhana...kwani lazima umwambie mtu umemuitia polisi si unatulia tu ashtuke muda anakamatwa.
nashangaa mkuu Seline angenyamaza tu na kumuacha Clive atoke. akutane na polisi nje..
nahisi Seline anakufa kweli 🤔🤔
kaghotalo nae kalegeza uzi huko..
 
Forum statistics

Threads 1,335,525
Members 512,360
Posts 32,508,650
Top