Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
14,623
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
14,623 2,000
Sijafatilia siku nyingi isidingo ila kwa updates za humu nahisi mpo isidingo 21 episode 126. Anza kutafuta hapo kama ipo mbele sana anzia episode 120
Mrembo Numby njoo nyumbani kwangu Kigamboni, tuwe tunaangalia wote.

Sina magunia ya mkaa
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,333
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,333 2,000
leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
 
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
311
Points
500
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
311 500
leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,333
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,333 2,000
Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?
kweli sibiya ndo mastermind wa yote.. nao wenzake kawashika akili. sasa wakichoma mgodi kazi watapata wapi??
makgolometsa nae ni anakataa huku anakubali.. kakwama uko kwenye kifusi hadi kuna sehemu aliongea zaburi ya mfalme daudi. hahaha kile kipande bwana
 
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
311
Points
500
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
311 500
Sijamuelewa Lincoln anataka nini kwa Lalage,something fishy is going on!
 

Forum statistics

Threads 1,325,753
Members 509,278
Posts 32,201,875
Top