Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

adorabella

adorabella

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
465
Points
1,000
adorabella

adorabella

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
465 1,000
Ianze nyingine ili tukiozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Isidingo itaendelea kuwepo tu, ishafikisha miaka ishirini n bado nzuri kichizi,
 
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
319
Points
500
Kihoronge

Kihoronge

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
319 500
Ianze nyingine ili tukiozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Mkuu ungeendelea kuangalia hapo ulipoikuta ungekuwa umeelewa. Uvivu umekukosesha uhondo.
 
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Messages
165
Points
250
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined May 19, 2018
165 250
Ianze nyingine ili tuliozaliwa 2000s nao tuifuatilie...nimezaliwa nikaikuta hata kuifuatilia nimeshindwa kwani sijui ilianzaje
Wewe hujui Isidingo sio kama Telemundo, ukiamua kuifuatilia ndani ya muda mfupi tu unaelewa. Muundo wa hadithi yake ni wa matukio ya kila siku ndani ya Horizon Deep
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,012
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,012 2,000
Ingekuwa inahusu tukio fulani tu basi story yake ingekuwa imeshaisha ila mule ni maisha ya kila siku. Kwahiyo mule watu wanaondoka, wanarudi,wanakufa ndiyo maisha hayo hivyo hakuna mwisho.

Na ndiyo maana popote tu ukianza kuangalia isidingo utaielewa.
 

Forum statistics

Threads 1,333,941
Members 511,787
Posts 32,458,742
Top