Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Thursday

papa g na nina wapo wodin matlala kalala kitandani,papa g anajilaum kwa kumsababishia matlala kupigwa risasi,nina anamwambia dokta kasema matlala hajaumizwa sana hivyo asijilaumu,papa g anasema atalipiza kisasi huku akimuita matlala mwanae ila nina anasema sio mwanae. Papa g anasema ataua yule jamaa

Polisi,Eddie amwambia mwenzie wanasema wachunguze uhusiano wa matlala na zamdela

Kwa kupitia njia ya simu Nikiwe anamtaka eddie aachanhalie email aliyomtumia, kisha anatoa kiasi kikubwa cha pesa kwa polisi ili waweze kufanya kazi vizuri. Eddie anamshukuru

Lerato anamwomba sechaba waongee ila sechaba anasema ana haraka ya kwenda kumuona matlala hospital,lerato anaomba msamaha kwa aliyoyasema jana yake,na kusema ila salun ina umuhimu kwake,sechaba anakereka kwa lerato kujali salun kuliko wao kupata mtoto

Akiwa ofisin nina anamtaka polisi awatafute waliompiga risasi matlala,gabr anaingia na kuanza kuongea kuwa kasikia kilichotokea jana na maneno tele ya kuanza kutaka kumlaum matlala,nina anamfukuza ofisin humo,huku akimpa vitisho arudoshe pesa zake

Hostel,sibiya anawaambia wenzie kuwa matlala kapigwa risasi home kwa zamdela na kwamba yupo hosp hivyo waende wakamtembelee,wote wanakubaliana. Kisha wanamlaumu matlala kwa kujihusisha na biashara za akina zamdela

Akiwa the rec na vijana wawili wa kuitengeneza vizuri salun yake akiwapa maelekezo,sechaba anatokea akiwa kwenye mishe zake ila anamuona lerato hapo na kusogea kusikiliza wakiongeacho kisha anaagiza coffee na kuondoka,lerato anaba na butwaa

Eddie anapewa na askar mwenzie mafile mengi kuhusu unyanyasaji wa wanawake na kusema wayafanyie kazi

Kgotha na wendy wanaongelea mabadiliko ya the rec hasa meza na menu. Gabr anatokea akichungulia

Matlala anazinduka na kumkuta nina pemben yake,na kumuulizia papa g,nina anasema yupo nyumban mzima na kumshukuru matlala kwa alichokitenda na kumtaka apone haraka warudi wote nyumbani.

Gabr anaenda home kwa rajesh na kumkuta kgotha alone na kuanza muuliza alizipataje shares zake(the rec) kgotja anamtaka aondoke,gabr anasema haondoki,kgotha anamvizia na kumpulizia kitu uson vinampata,rajesh anaingia vinampata pia anashindwa mkamata gabr ambae anakimbia

Nina akiwa ofisin kwake akiongea na simu kusema jamaa aliyempiga matlala risasi kaanzisha vita nao wapo tayari,wanaingia ofisin vijana wa kazi wa zamdela,nina anawapa maelekezo wawatafute watuhumiwa wao kabla ya polisi kuwapata na wampelekee yeye

Sechaba anarud home ,lerato anamtaka wakae waongee,sechaba anamlaum lerato kwa kuendelea na mipango yake ya saluni wakati hawajaongea zaidi na kuelewana. Kusema lerato ni mbinafsi

Papa g anaongea na matlala wodin na kumpongeza kwa kumuokoa,matlala anamwambia yeye sio mwanae,oaoa g anasema si kweli ule ni wivu wa nina. Matlala anasema DNA haidanganyi,papa g anasema kama sio mwanae kwann alienda pigwa risasi badala yake. Matlala anasema ni sababu papa g alimjari sana kama mwanae kitu alichokua anakitaman muda mrefu
Niliona huruma pale matlala aliposema alitaka siku baba yake awe proud na yeye
Sema na wasiwasi ipo siku matlala atarudi HD na kuonekana mtoto wa zamdela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Friday

eddie anaenda shebeen kumuulizia gabr,nona anaulizia kwa kosa gan,eddie anamwambia gabr kamvamia kgotha hivyo kavunja mashart ya dhamana,nina anamwambia gabr hafanyi kazi hapo keshamfukuza

Sechaba kaenda mtembelea matlala wodin,gatanga nae anaingia hapo wodin. Wote wanamshangaa matlala kujihusisha na mabo ya akina zamdela. Matlala anamtetea papa g.

Lerato anaongea na wanaouza vifaa vya kutengenezea salun na kuomba kupunguziwa bei ya vifaa hivyo

Rajesh anamuonyesha gazet kgotha lenye habar ya gabr kulalamika kuibiwa shares zake,rajesh anasema siku gabr akirud hapo atamuonyeshea,rajesh anamlaum kgotha kuiba shares za gabr,kgotha anajitetea

Nikiwe anasoma gazet,ben anasema gabr analaum nikiwe ,kgotha kwa msaada wa rajesh na ben wameiba shares zake. Nikiwe anapata wasi wasi ,Ben anamtaka nikiwe apotezee watu hawatawashtukia

Nina anamwambia papa g tayar kikundi chao kipo imara kwenda kuwafundisha adabu waliompiga risasi matlala,papa g anamlaumu nina kwa kitendo cha kupima DNA,huku akisema haamin kama majibu ni ya ukweli anahisi nina kayachezea. Papa g analalamika kusalitiwa na nina

Lerato akiwa the rec maandalizi ya salun yake,wendy anatokea ,lerato anamwambia kuhusu sechaba kumkasirikia kisa kufungua saluni,wendy anamueleza kuhusu lalage kuacha kazi ili kulea watoto,kisha wwndy anamwambia lerato ana bahati hana watoto

Nina akiwa ofisin,gabr anagonga mlango na kuingia,gabr anamwambia kuwa kamvamia kgotha na kumuomba ajira hapo shebeen,nina anamtaka aondoke hapo shebeen

Morogwa kaenda mtembelea matlala wodin,anamwambia aliposikia kapigwa risasi kisirisiri aliombea matlala awe amemuachia wosia wa kurithi geto lake zuri,matlala anacheka,morogwa anamwambia aliposikia ya matlala kuwa mtoto wa papa g alihisi mleta ubuyu keshaanza vuta bangi.wanaongea hapo ,morogwa anamtaka matlala akamwambie papa g DNA ni feki ili yeye morogwa na matlala wakaishi kwa papa g,matlala anacheka na kutaniana hapo

sechaba anaenda ofisin kwa nikiwe kujadili kuhusu kampen na kumtaka nikiwe aweke mawazo katika kampen na sio vita vya shares za gabr

matlala akiwa wodin peke yake anakumbukia nyakati akiwa na papa g kama yake,anabaki kulia

rajesh hana furaha na the rec hasa kwa kujua wizi wa shares na kuwa na wasiwasi na usalama wa kgotha ila kgotha hana hofu hio

sechaba analalamika kwa lerato kuhusu nikiwe kutaka kuitumia kampen kama nia ya kulipiza kisasi kwa gabr,lerato nae analeta topic za salun ila hana mpango wa kutafuta mtoto kwa wakati huo,sechaba anamkasirikia

nikiwe yupo na kgotha the rec,wanajadili kuhusu gabr na hasira za rajesh,gabr anatokea.gabr anawataka wamrudishie shares zake huku akiwapa vitisho,baunsa anatokea na kumtoa hapo
 
Tatizo brad aliondoka na episode za mbeleni,matlala akanionea huruma akabakiza za kwake mpaka atakapotoroka hosp.

Ila sheria ya maudhui imebana pale nilipokua natolea video google hazipatikani tena na you tube hazina mpangilio. Hivyo bora niage kabisaa kuliko kutoa matumaini wakati sina vipande husika.
jaman,muache matlala aende mwenyewe bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo brad aliondoka na episode za mbeleni,matlala akanionea huruma akabakiza za kwake mpaka atakapotoroka hosp.

Ila sheria ya maudhui imebana pale nilipokua natolea video google hazipatikani tena na you tube hazina mpangilio. Hivyo bora niage kabisaa kuliko kutoa matumaini wakati sina vipande husika.
Lkn uwe unaingia tupige story tu
Maana tumekuzoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last one

Rajesh anaongea na simu na eddie kumuuliza kuhusu gabr kama atatokea kwenye event,eddie anamwambia kuna ulinzi,kgotha anatokea na kusema akija atamwagia spray ya pilipili,rajesh anasema itawapata hata wasiohusika,rajesh anaomba tshirt na kwamba atahudhulia kampen

Lerato anamuomba sechaba waongee wawe na amani ila sechaba anamlaum kwa kufanya vitu bila kumshirikisha

Papa g anamwambia nina kuwa hata baada ya kufahamu majibu ya DNA bado anamchukulia matlala kama mwanae na kusema ataenda kumuona matlala hosp

Ukumbin kwenye kampen,eddie anamwambia nikiwe kuhusu kesi anazozifatilia kuhusu wanawake na kumuuloza kuhusu madai ya gabr kuibiwa shares,nikiwe anasema gabr sio mkwel anataka kumganda tu,nikiwe anamkaribisha sechaba ukumbini na watu wengine wanaoingia wakiimba na mabango pia

Nina anamkuta gabr akisafisha meza shebeen,nina anamtimua ila gabr anaomba mshahara wake kipind aliofanya kazi hapo,nina anatoa pesa ila anakataa kumpa akosema kapunguza deni analomdai gabr. Gabr analalamika

Morogwa anamuomba matlala amsaidie kuipata ajira yake(morogwa) SG ila matlala anamwambia hawez maana nae alishaacha kazi hapo na pia papa g hamjali twna tangu ajue sio mwanae na kusema anataka kuondoka HD

Lerato busy akisaka njia ya kupata pesa za saluni yake mara analetewa document anazifungua na kuzifurahia

Nina anamkuta gabr akinywa hapo shebeen,anamwambia hana maana maana kakaa hapo kunywa pombe bei rahisi huku nikiwe akimvunjia heshima kwenye kampen

Matlala akifungasha mizigo yake wodin tayari kwa kuondoka,gatanga anatokea na kujaribu kumzuia ila matlala keshaamua kuondoka

Kwenye kampen watu wanaimba na kucheza,nikiwe anapata nafasi ya kuongea kidogo kisha anampa nafasi pia eddie ya kuongea,gabr yupo mlangoni anawachungulia

Nikiwe anailizwa swali na paparaz kuhusu kuiba shares za gabr,nikiwe anasema hajaiba na hawez fanya hivyo

Lerato busy na mawazo tele kuhusu salun,anampigia simu sechaba hampat anaamua muachia ujumbe wa sauti wa sechaba kuwasiliana nae

Papa g,nina na mabaunsa wawili wanaingia wodin kukuta matlala hayupo,wanashangaa na kumuita nesi,nesi anawaambia matlala kajiruhusu mwenyewe. Papa g anasikitika matlala kuondoka

Kampen imesha watu wanamuaga nikiwe,nikiwe anamtuma walinzi wake kufata gari,sechaba anamkuta nikiwe peke yake,nikiwe anamshukuru sechaba,sechaba anamuuliza walinzi wake wanaenda wapi nikiwe anasema kufata gari,wakiwa wanaongea gabri anatokea na kumtupia nikiwe kofia huku akimlaum kwa wizi,eddie anaingia na kumkamata gabri
 
Waenda wapi madam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom