Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Jaribu tu utaweza maana kuna kipind ulikua unanikumbusha vipengele nilivyosahau ulikua unaelezea vizuri sana.
Akielezea mtu mwingine naweza ongezea nyama,mimi mwenyewe kichwa changu ni KB 100 tu. Na maisha yenyewe yanavyotupiga haya!
 
Akina matlala wanamfuma kijana wa gatanga hostel wanataka kumpiga wakimuuliza anafanya nini,hapo gatanga anatokea na kusema ni mwanae,jamaa wanapigwa butwaa

Zandre na anja(watoto wa hendrik)wapo sebulen huku anja akimdadisi zaid kaka ake kuhusu kulipua gari la mwalimu

Kgotha anaenda ofisin kwa sechaba na kumuuliza alipofikia kuhusu sebeza nawe,kisha wanapanga kuongea zaidi muda wa lunch

Hostel jamaa wanafanya fujo wakitishia kumpiga mtoto wa gatanga,gatanga anawaomba wamuelewe mwanae aishi hapo kwa muda,sibiya anamshushua kua yeey huwa anawachongea wakifanya makosa madogo madogo halafu anawataka wamueleweje,hendrik anatokea na kuuliza kulikon sibiya anamwambia kisa chenyewe,gatanga anajitetea,as biya anamwambia hendrik akimruhusu mtoto wa gatanga hapo nao watafanya watakavyo,hendrik anamwambia gatanga kijana aondoke maana sheria ni sheria la sivyo gatanga atafukuzwa hostel

Ofisin kwa ofentse,ofsntse analalamika kwa sechaba kuwa wafanyakazi wana malalamiko na kushangaa sechaba kujiweka kando kama hayamhusu

Hendrik anarud kwake akilalamikia ya hostel na mwanae,mkewe anamshaur walipe den kwa akiba waliyojiwekea kisha kijana atawalipa akimaliza shule ila hendrik anagoma na kutaka kijana afanye kazi alipe den mwenyewe

Matlala anampelekea document sechaba,sechaba anamshukuru

Sechaba na kgotha wanaongelea project ya sebeza nawe,kgotha anampongeza sechaba kwa kazi nzuri na wanasubiria kukubaliwa na ofentse

Wendy anaenda kwa hendrik na kumkuta anja busy na simu huku hasomi,anja anamuonyesha wendy video aliyoweka kwenye ukurasa wake wa mtandaon kuhusu gar alilolipua kaka ake huku akifurahia views,wendy anasema haamin kama zandre kafanya tukio hilo,anja anasema kachoka watu kumtetea zandre,wendy anamtaka anja apeleleze kufaham ukwel

Wakiwa kikaon,sechaba,ofentse na kgotha wakiongelea masuala ya kazi,kisha sechaba anagusia project ya sebeza nawe na kumpa document ofentse yenye sain za watu elfu kumi wanayoiunga mkono,ofentse anasema keshaongelea hilo jambo na kwamba yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho hivyo amekataa

Sechaba anambwatukia ofentse na kumwambia ana hasira za kunyimwa uongoz wa familia ndo maana anamfanyia hivyo kazin

Hendrik na mkewe wanabishana kuhusu zandre kufanya kazi mgodin,zandre anakasirika na kusema baba yake asijali kuhusu yeye kufanya kaz mgodin na kwamba anajua kutafuta pesa sio kama yeye(hendrik),lalage anamzaba kibao na kumtaka amuomne msamaha hendrik

Sechaba akiwa ofisin kwake analalamka kwa lerato kitendo cha ofentse kukataa wazo la sebeza nawe

Gatanga anaenda the rec na mwanae akimwambia wapate msosi kisha atampeleka stend,morogwa anatokea gatanga anamwambia mwanae kuwa morogwa atakua mke wake(gatanga),morogwa anasema gatanga ana utan,gatanga anamwambia morogwa kuwa huyo ni mwanae,kijana anafata gazet kaunta na kuona tangazo la ajira nzinga na kusema kasomea kazi hio,gatanga anasema hana pa kuishi,morogwa anasema anaweza msaidia geto lake kisha yeye ataish kwa rafiki yake

Sechaba anaenda ofisin kwa ofentse na kukabidhi barua ya kujiandaa kuachabkazi SG
 
Asante Numbisa,Morongwa alimpenda ghafla kijana wa Gatanga,Thabang. Alimuuliza Gatanga huyu handsome boy wa wapi? Alivyomtambulisha kuwa ni mama yake mtarajiwa Morongwa akang'aka kuwa ni utani.
Morongwa kamtamani kijana ndo akaanza na kumpa offer mahali pa kulala.

Thabang pia aliona tangazo la kazi kwenye gazeti katika kampuni ya Nzinga drilling,hivyo anataka kuapply hiyo kazi maana ndicho alichosomea. Hope Morongwa atamsaidia maana wanafahamiana na Kgothalo.
 
Hapana morogwa anawaza pesa tu na mbinu mpya mpya za kumchuna gatanga.

Pia Thabang humo isidingo uhusika kapewa awe gay
Asante Numbisa,Morongwa alimpenda ghafla kijana wa Gatanga,Thabang. Alimuuliza Gatanga huyu handsome boy wa wapi? Alivyomtambulisha kuwa ni mama yake mtarajiwa Morongwa akang'aka kuwa ni utani.
Morongwa kamtamani kijana ndo akaanza na kumpa offer mahali pa kulala.

Thabang pia aliona tangazo la kazi kwenye gazeti katika kampuni ya Nzinga drilling,hivyo anataka kuapply hiyo kazi maana ndicho alichosomea. Hope Morongwa atamsaidia maana wanafahamiana na Kgothalo.
 
Monday

Lerato anamlaum sechaba kwa kujiuzulu bila kumshirikisha,sechaba anabebeleza na kujitetea kua hajamaanisha kuacha kazi kweli kweli bali kafanya vile kumtisha ofentse ili aone umuhimu wake kazin,lerato anamwambia je ofentse akiikubali barua,sechaba anasema hawez fanya hivyo

Morogwa anarud geto kwake na kumkuta thabang akinywa chai,morogwa anachukua baadhi ya nguo zake

Zandre anaenda penthouse kwa wendy kuomba amuazime kiasi cha pesa ana shida nazo maana hatak kufanya kazi mgodin

Sechaba anaenda ofisin kwa ofentse kufuatilia suala lake la kazi,tofauti na mategemeo yake ofentse anasema hana muda wa kumbembeleza hivyo kaikubali barua ya sechaba kuacha kazi,sechaba anapanic na kuanza kumlaum ofentse. Anabakiwa na week moja ya kuwa SG

Zandre anaongea na rafiki zake kwa simu na kuwaomba wamsaidie kulipia gar waliloharibu na kwamba hawez fanya kaz mgodin,mama ake anatokea na kumuuliza kaanza lini tabia ya kubishana na wakubwa wakati alikua kijana mwerevu,mpole. Kijana anaomba msamaha na anaonyesha ana kitu anaficha anataman kusema ila anaogopa. Mama mtu anabaki na huzun

Ofisin kwa sechaba,sechaba analalamika kwa kgotha kuhusu ofentse kumsimamisha kazi na kwamba jamaa analipiza kisasi

Zandre anarud kwao na kukuta wamemaliza kuka,anaulizwa alikua wapi anajibu matembez,kijana anajaribu kuongea na hendrik ila hendrik anasema hana muda na kuondoka,zandre anamwambia mama ake alitaka kuomba msamaha kwa hendrik

Ofentse anamuuliza sechaba kwann kachukua uamuz wa ghafla kujiuzulu,sechaba anasema alipanga tangu zaman

Gatanga anamfata morogwa the rec na kumuomba risiti za matibabu ya ndugu yake ambaye alisema anaumwa na gatanga akatoa pesa,morogwa anashangaa na kusema yupo busy

Sechaba anaenda mgodin chin anajisikia vibaya kidogo adondoke,matlala na wachimbaj wanamshangaa,matlala anamuuliza nini tatizo sechaba anajilaum kwa mchezo aliocheza

Zandre anaenda shebeen na kuonana na rafiki zake ambao wanamuuliza alimaanisha nini alipowapigia simu anawaambia wamsaidie kulipia gar ila jamaa wanamdhihaki na kumtoa nje ya shebeen

Sechaba yupo home kalala kwenye kochi akinywa pombe ,lerato anamshaur sechaba ajishushe na kuomba ajira yake,sechaba anakasirika na kumuonya asimfate tena ofentse kumuombea ajira

Morogwa anaenda penthouse na mizigo yake na kumwambia wendy ampe nafasi hapi kwa muda mfupi maana ana dharura,wendy anajaribu kukataa,morogwa anamkumbusha alivyokua anaishi geto kwake,wendy anamkubalia kwa usiku mmoja maana hapo kwa watu

Sechaba yupo shebeen na matlala,sibiya na gatanga wakinywa bia na bila kutumia busara anawaambia kuhusu mipango ya mabosi wa SG kuwapunguza kazi kimya kimya na ghafla,jamaa wanashtuka na kuanza kuimba nyimbo zao za kutokubali kuonewa

Napenda wanavyocheza wakiwa kwenye migomo hasa matlala na sibiya
 
Asante numbisa wangu,wiki hii yote nakutegemea wewe
 
tatizo Sechaba asahapoteza muelekeo,katingisha kibiriti kumbe kimejaa ashadata sasa
 
26157920_208814119667200_7517855083552309248_n.jpg
 
Hivi mwisho wa sechaba utakuwaje HD? Atafanikiwa kweli harakati zake? Maana ni rafiki mkubwa wa Benjamin, Naona kama kadata. Na ofentse nae nahisi mwisho wake utakuwa mbaya sana.
 
Keep on watching....mwisho wa mtu kwenye Isidingo ni aidha afe au ahame horizon deep....

Maisha ni hatua.....just like in real life.....leo upo kampuni hii and for some reasons kesho unaondoka unaenda kwingine.....

Ben hawezi kumtupa Sechaba....ni family friend, like brothers from different mothers and fathers.....

Sit back, relax and enjoy.....One step at a time....don't stress
 
Back
Top Bottom