Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Thursday

Brad anaenda ofisin kwa barker kumwambia kinachoendelea huko nje. Brad anamwambia waandamanaji wanasema wabaguz wapo humo duncan,barker anasema hawez ruhusu watu wa hivyo hotelin mwake ila brad anamwambia hao watu wameonekana wakipatiwa chumba hapo. Barker anakumbuka aliwaona usiku na kujilaumu. Brad anasema watu wakiwakamata hao wabaguzi watawaua. Barker anasema bora kuwapa watu hao wabaguzi ila sio kuharibu hotel yake. Brad anasbangaa,barkwr anapiga simu polisi kuwajulisha

Kgotha yupo na rajesh duncan rum. Anampogia simu mhudumu akimtaka amwambie barker kuwa anataka kutoka kisha anaongea na barker akimtaka amtafutie mbinu atoke hapo. Kgotha analaumu hali hio ila rajesh anamtaka kuwa na subira

Lerato akirud kwake anamkuta wwndy kalala eneo la kuanikia nguo,lerato anamgombeza kisha anakumbuka wizi wanguo zake na kumsunta wendy,wendy anakubali aliiba na kuzirudisha akisema hajazivaa maana analikua anajisikia vibaya kaiba. Anamuomba lerato ampe ajira kisha hatamkuta tena akilala hapo maana alikua analala kanisan ila vurugu zimemkimbiza watu wasimuone. Lerato anamwambia wangemuona wangemuua maana ni mzungu. Kisha lerato anampa ruhusa ya kuish hapo ila anamwonya kuwa sechaba hatapenda kumuona hapo,wendy anauliza kama ni sechaba aliyepigwa na wabaguzi kisha anasema atakua anaishi salun ili sechaba asimuone

Duncan,matlala,morogwa na wengineo wanakmba na kucheza hapo. Eddie na polisi wenzie wanaingia na kusema hio ni mali binafsi,matlala anajibu. Eddie anawaambia hicho wanachokifanya ni uharifu. Matlala na wenzie wanauliza alichofanyiwa sechaba sio uhalifu?edie anasema watamsaidia sechaba.barker anatokea,matlala anaulizia wabaguz ,barker anasema wanashughulikia suala hilo na kuwataka wawe wapole,watu wanakataa. Barker anamwambia eddie afanye kitu la sivyo atawaleta hao wabaguz wadundwe hapo. Eddie anamshangaa na kuwaambia waanamshangaa na kumtaka awachie kazi hio. Wakati eddie akiwataka watu waondoke,jamaa mmoja anapiga risasi juu kila mtu anajificha huku wengine wakikimbia. Eddie anapiga simu akiomba aongezewe askar

Ni siku nyingine tena asubuh kgotha anaamkia home kwa rajesh,rajesh anampa coffee wanakaa kwwnye kochi wakiongea yao. (Sababu ya kgotha kulala hapo ni zile fujo za duncan. Kgotha alilala chumban kwa rajesh kisha rajesh alilala chumba cha wagen)

Eddie anaenda muhoji linc,ila linc anasema mpango mzima ulikua wake na kwamba nina na askar mthomben hawausiki kupanga mpango huo bali kumsaidia kutoroka sababu aliwatishia kuwaua. Na vijana aliokua nao ni vijana wa linc. Eddie haamin maelezo hayo

Sechaba anamkuta wendy jikon akijimiminia chai,sechaba anakasirika zaidi kwa maelezo ya lerato kuwa kamuajiri salun na anaish hapo. Sechaba anasema huyo mzungu asimuone hapo

Eddie anaenda kwa rajesh akilalalmika kuhusu linc kumdanganya. Mara kgotha anatokea chumban,eddie anashangaa ugeni huo. Kgotha na rajesh wanatoa ufafanuz mrefu hadi suala la kulala vyumba tofauti. Eddie anawaambia haina umuhimu kumpa maelezo yote hayo. Kgotha anaondoka kwenda kazin. Eddie anamtaka rajesh achangamkie fursa

Matlala anamwelezea sechaba na lerato kilichotokea duncan na kusema wameonewa na eddie na wenzie. Kisha anatoa wazo la kuichoma duncan ila sechaba anasema sio wazo zuri maana halitamuumiza barker ila wanatakiwa kutafuta mbinu ya kumpiga barker kwenye pesa zake

Majola na eddie wanaenda ofisin kwa nina na kumwambia linc katoa maelezo yanayomsapoti ila anatakiwa kufika mahakamn afutiwe makosa yake. Baada ya eddie kuondoka majola anamtishia nina akisema ataendelea kumfatilia

Kgotha anamwambia rajesh kuwa anarudi kuish duncan

Nikiwe anaenda rum kwa nina duncan kumuaga skhu kwa huzuni. Skhu anamwambia kuwa gabr sio mwanaume sahihi kwake

Linc anahamishiwa gereza la watu wengi tofauti na lile alilokua kawekwa mwanzon

Penthouse,nikiwe na gabr wakiwa mezan wanasali kabla ya kupata chakula cha usiku. Nina anaingia na kuwasifia wanasali pamoja. Mhudum aitwae grace anamwambia nikiwe kuwa walinz wamemruhusu nina. Nikiwe anamwambia akaendelee na kazi. Gabr anamwambia nina awe na heshima asiende majumba ya watu wakiwa wanasali. Nina anasema ana jambo muhimu kwa nikiwe na ujumbe kuhusu lincc maisha ya nikiwe ya mbelen, na ndoa na gabr. Nikiwe anasema hauhitaj ujumbe huo .Gabr anainuka kumfukuza nina ila nikiwe anamzuia na kumtaka nina aongee,gabr anapata wasi wasi nina anasema gabr nae alisaidia kwenye mpango wa linc kutoroka na kwamba mahusiano yao(nikiwe na gabr sio ya ukweli)na kwamba gabr anamtapeli.
 
No Charlie
No Zukisa
No Kamo
No Tyson
No Obza
No bra George
No Calvin
No Angie
No the rec
Mzee link ndio hv mara moja moja
Aphiwe Na Skhu naona wako mbioni nao kurest
At least Majola na mr Eddie wameludi asee lkn Bado inantia sana uvivu kuicheki dkk kdg kwa rajesh kdg kwa rajesh, Nikiwe na Gab daaa at least Numbisa Unanfanya nii flash flash juu kwa juu ili kuendana nayo nl Siku mbl hizi ambazo watu wamepmxika bora wangemludisha jody Na @Ma_Nkadimeng!
 
Wanakuja wengine,keshaingia mzungu wendy,anakuja mwingine kule mgodin kwa akina matlala mzungu hendrick na familia yake ya mke na mtoto mmoja. Anaingia aunt yake sechaba
No Charlie
No Zukisa
No Kamo
No Tyson
No Obza
No bra George
No Calvin
No Angie
No the rec
Mzee link ndio hv mara moja moja
Aphiwe Na Skhu naona wako mbioni nao kurest
At least Majola na mr Eddie wameludi asee lkn Bado inantia sana uvivu kuicheki dkk kdg kwa rajesh kdg kwa rajesh, Nikiwe na Gab daaa at least Numbisa Unanfanya nii flash flash juu kwa juu ili kuendana nayo nl Siku mbl hizi ambazo watu wamepmxika bora wangemludisha jody Na @Ma_Nkadimeng!
 
Wanakuja wengine,keshaingia mzungu wendy,anakuja mwingine kule mgodin kwa akina matlala mzungu hendrick na familia yake ya mke na mtoto mmoja. Anaingia aunt yake sechaba

Halafu @Obza Nlimuona Channel e kuna mchezo saa moja moja hivi shavu sio poa tena naona ule unaendelea sio kama Isidingo imetuacha mbaaalii
 
Back
Top Bottom