Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

a783d0016740562dbfc3d9345f021bf1.jpg
Leo ndio namwona Rato bila lile wigi hapo kwenye picha yako
 
Tuesday

Angie anaenda penthouse na kumwambia nikiwe kuwa anajitoa kumsimamia linc kama mwanasheria wake na kwamba hatua iliyobakia kwenye kesi itamaliziwa na msaidiz wake,nikiwe anasema sawa.ila uncle wa linc anamshangaa angie kwa kumtelekeza linc hatua za mwisho akiwa hospital,nikiwe anamwambia uncle asimbembeleze angie maana haitasaidia

Papa g yupo sebuleni,nina anatandika godoro hapo na kuweka mishumaa,papa g anauliza kwann,nina anasema anaomboleza msiba wa mwanae,papa g anasema hawana uhakika kama obakeng amefarik,nina anasema alienda Tanzania na hakumpata mwanae na kwamba atalala hapo hapo ambapo oba alikua anapenda kukaa na kula

Nikiwe akiwa ofisin,gabr anamwambia kuhusu cctv camera na masuala ya ulinz nikiwe anaitikia huku akiwa busy,gabr anauliza ubusy huo nikiwe anasema anaanda ripoti ya kuujulisha umma kuhusu ugonjwa wa linc na kwamba skhu atahusika na suala hilo,gabr hakubaliani anataka apewe yeye hio kazi,nikiwe anakataa mara anaingia ben,nikiwe anafurah wanasalimiana kwa kukumbatiana na story tele,gabr wivu unamjaa. Ben anamwona gabr humo ofisin na kuhitaji utambulisho,nikiwe anamtambulisha gabr kama kiongozi wa walinz hapo SG kisha nikiwe anamtambulisha ben kama rafiki. Gabr anajiwah na kumwambia nikiwe kwan ben haitaji habari nzuri kuhusu wao kisha anajikurupusha na kumfata nikiwe na kunyoosha kidole cha pete akimringishia ben,nikiwe hafurahii kitendo hicho,ben anawapongeza

Tyson kalala chini chumban mwao,mkewe anamwambia kwann kalala chini si angetafuta chumba kingine tyson anasema ili rajesh ajione mshind na kumcheka,kgotha anamshangaa tyson kukasirikia past yake wakat yeye hajamind sana mahisano ya tyson na angie. Huku akimwambia asitafute sababu ya kukimbilia kwa angie

Zukisa anaenda wodin kwa linc akiwa na wamama wa kanisani,linc anauliza akina nai hao,zukisa anawatambulisha,linc anamwambia awaondoe hapo hawataki,zukisa anawaondoa wamama hao,linc anamwambia zukisa kuwa jana alimwona katlego hapo na kumwomba amuondoe hospitalin hapo maana katlego atamuua.zukisa anabaki kushangaa

Kamo anaamka na kwemda sebulen akiwa tayr kwa kwenda kazin,sebulen anawakuta aphiwe na lerato,aphiwe anamwambia kamo wawahi ofisin,lerato anamtaka kamo awe makin asiwape hofu,kamo anasema kagundua obakeng ni baba mtoto wake tu na sio vingine,aphiwe anamkata jicho hilo,lerato anamwambia kamo kamuandalia msosi abebe atakula kazin,kamo anasema atakula cha kazin,ila lerato anamshawish abebe hicho,kamo anakubali,mara aphiwe na kamo wanapokea sms na kushangaa kisha wanaondoka haraka na kusahau msosi wa lerato

Zukisa anaenda kwa matlala,wanasalimiana vizuri tu na matlala anamtaka zukisa aiwe busy sana kumsahau na kumwambia jion watoke out wakale dinner,ila zukisa anasema ana maombi kanisani,matlala anasema ataenda na hataleta usumbufu,zukisa anakubali

Tyson anaingia ofisin kwa barker,barker anamuuliza kama alipata chumba tyson anasema alihairisha,barker anamwambia kuhusu linc tyson analalamika linc kutafuta visababu vya ugonjwa,barker anasema linc sio lengo lao kwa wakati huo bali nikiwe maana wakimdondosha nikiwe watakua wamemaliza kazi tyson anasema nikiwe nae yupo kwenye kisasi chake kwa kuficha mauaji ya katlego. Hivyo wanapanga kumporomosha nikiwe

Nikiwe yupo na ben maeneo ya SG wakiongelea safari za ben na jins alivyoenjoy,mara gabr anatokea kwenye lift na kushangaa ben bado yupo,maongez ya nikiwe na ben yaanharibiwa na gabr,ben anaamua kuaga na kuondoka

Kamo na aphiwe wanaingia sebulen kwa papa g na kushangaa hali wanayokutana nayo,nina analia na kuomboleza,papa g anasema afadhali wamekuja,nina anasema obakeng kafariki,aphiwe anauliza kama ameuona mwili,papa g anasema hata yeye kauliza swali hilo,nina anasema hajaona mwili ila obakeng kachomwa na kupelekwa pasipojulikana na kwamba manusura pekee ni calvin. Nina anasema anahitaji kufanya misa maalum kwa ajili ya obakeng

Zukisa anawaita nikiwe na uncle penthouse,na kuwaambua kuhusu linc kucha ganyikiwa na kusema kamuona katlego. Uncle anamshukuru zukisa kwa kuwapa taarifa

Sechaba anarudi home na kumkuta lerato busy akihesabu pesa,sechaba anamuuliza lerato kama alimpa somo kamo aache kuwapa hofu,larato anasema ndio,sechaba anasema ana njaa ,lerato anamwambia atampikia akimaliza kupanga hesabu za pesa,sechaba anakaa kwenye kochi na kutazama tv,mara lerato anapokea sms na kupigwa butwaa akitaja obakeng

Nikiwe yupo na gabr penthouse,gabr anamshawish nikiwe waende hosp wakahakikishe kama kweli zjkisa anaongea ukweli ili nikiwe achukue maamuzi ya mwisho alitonayo linc katika SG.nikiwe anasita na kusema haiwezekan ,gabr anamyusha je tyson na barker wakiitumia nafasi hio kumharibia zaidi.nikiwe anaikiria

Uncle wa sizwe yupo kanisani na wababa na wamama wa kanisa akiwashawish waongee na zukisa arudiane na sizwe mara zukisa anaingia na kumshangaa uncle kwa akifanyacho,mara simu inaita ni matlala akitaka kumfata zukisa kanisani hapo,zukisa anamtaka amsubirie nje ila matlaal anamwambia anamfata,zukisa anamwambia uncle aache usumbufu na kwamba alishaachana ana sizwe zaman kisha anaondoka humo
 
Kuna wanawake anaweza kutembea na wanaume hata 100 lkn bado nawe ukamtaka. Ngwair (R.I.P) alisema, "sitojali katembea na wangapi, kuwa naye maishan naona bahati"
....Kuna dada mmoja utadhani ana kizizi, yaani alikuwa ana date wanaume watano kwa wakati mmoja na wote wanajijua. Siku moja nilishuhudia mwanaume mmoja yuko nje anamsubiria atoke (yuko ndani na mwingine anamkamua) ili aondoke naye, aisee yule dada kiboko...
 
Mkuu acha tu. Usiombe kupenda
 
....Kuna dada mmoja utadhani ana kizizi, yaani alikuwa ana date wanaume watano kwa wakati mmoja na wote wanajijua. Siku moja nilishuhudia mwanaume mmoja yuko nje anamsubiria atoke (yuko ndani na mwingine anamkamua) ili aondoke naye, aisee yule dada kiboko...
Real life au stori?
 
Tuesday

Angie anaenda penthouse na kumwambia nikiwe kuwa anajitoa kumsimamia linc kama mwanasheria wake na kwamba hatua iliyobakia kwenye kesi itamaliziwa na msaidiz wake,nikiwe anasema sawa.ila uncle wa linc anamshangaa angie kwa kumtelekeza linc hatua za mwisho akiwa hospital,nikiwe anamwambia uncle asimbembeleze angie maana haitasaidia

Papa g yupo sebuleni,nina anatandika godoro hapo na kuweka mishumaa,papa g anauliza kwann,nina anasema anaomboleza msiba wa mwanae,papa g anasema hawana uhakika kama obakeng amefarik,nina anasema alienda Tanzania na hakumpata mwanae na kwamba atalala hapo hapo ambapo oba alikua anapenda kukaa na kula

Nikiwe akiwa ofisin,gabr anamwambia kuhusu cctv camera na masuala ya ulinz nikiwe anaitikia huku akiwa busy,gabr anauliza ubusy huo nikiwe anasema anaanda ripoti ya kuujulisha umma kuhusu ugonjwa wa linc na kwamba skhu atahusika na suala hilo,gabr hakubaliani anataka apewe yeye hio kazi,nikiwe anakataa mara anaingia ben,nikiwe anafurah wanasalimiana kwa kukumbatiana na story tele,gabr wivu unamjaa. Ben anamwona gabr humo ofisin na kuhitaji utambulisho,nikiwe anamtambulisha gabr kama kiongozi wa walinz hapo SG kisha nikiwe anamtambulisha ben kama rafiki. Gabr anajiwah na kumwambia nikiwe kwan ben haitaji habari nzuri kuhusu wao kisha anajikurupusha na kumfata nikiwe na kunyoosha kidole cha pete akimringishia ben,nikiwe hafurahii kitendo hicho,ben anawapongeza

Tyson kalala chini chumban mwao,mkewe anamwambia kwann kalala chini si angetafuta chumba kingine tyson anasema ili rajesh ajione mshind na kumcheka,kgotha anamshangaa tyson kukasirikia past yake wakat yeye hajamind sana mahisano ya tyson na angie. Huku akimwambia asitafute sababu ya kukimbilia kwa angie

Zukisa anaenda wodin kwa linc akiwa na wamama wa kanisani,linc anauliza akina nai hao,zukisa anawatambulisha,linc anamwambia awaondoe hapo hawataki,zukisa anawaondoa wamama hao,linc anamwambia zukisa kuwa jana alimwona katlego hapo na kumwomba amuondoe hospitalin hapo maana katlego atamuua.zukisa anabaki kushangaa

Kamo anaamka na kwemda sebulen akiwa tayr kwa kwenda kazin,sebulen anawakuta aphiwe na lerato,aphiwe anamwambia kamo wawahi ofisin,lerato anamtaka kamo awe makin asiwape hofu,kamo anasema kagundua obakeng ni baba mtoto wake tu na sio vingine,aphiwe anamkata jicho hilo,lerato anamwambia kamo kamuandalia msosi abebe atakula kazin,kamo anasema atakula cha kazin,ila lerato anamshawish abebe hicho,kamo anakubali,mara aphiwe na kamo wanapokea sms na kushangaa kisha wanaondoka haraka na kusahau msosi wa lerato

Zukisa anaenda kwa matlala,wanasalimiana vizuri tu na matlala anamtaka zukisa aiwe busy sana kumsahau na kumwambia jion watoke out wakale dinner,ila zukisa anasema ana maombi kanisani,matlala anasema ataenda na hataleta usumbufu,zukisa anakubali

Tyson anaingia ofisin kwa barker,barker anamuuliza kama alipata chumba tyson anasema alihairisha,barker anamwambia kuhusu linc tyson analalamika linc kutafuta visababu vya ugonjwa,barker anasema linc sio lengo lao kwa wakati huo bali nikiwe maana wakimdondosha nikiwe watakua wamemaliza kazi tyson anasema nikiwe nae yupo kwenye kisasi chake kwa kuficha mauaji ya katlego. Hivyo wanapanga kumporomosha nikiwe

Nikiwe yupo na ben maeneo ya SG wakiongelea safari za ben na jins alivyoenjoy,mara gabr anatokea kwenye lift na kushangaa ben bado yupo,maongez ya nikiwe na ben yaanharibiwa na gabr,ben anaamua kuaga na kuondoka

Kamo na aphiwe wanaingia sebulen kwa papa g na kushangaa hali wanayokutana nayo,nina analia na kuomboleza,papa g anasema afadhali wamekuja,nina anasema obakeng kafariki,aphiwe anauliza kama ameuona mwili,papa g anasema hata yeye kauliza swali hilo,nina anasema hajaona mwili ila obakeng kachomwa na kupelekwa pasipojulikana na kwamba manusura pekee ni calvin. Nina anasema anahitaji kufanya misa maalum kwa ajili ya obakeng

Zukisa anawaita nikiwe na uncle penthouse,na kuwaambua kuhusu linc kucha ganyikiwa na kusema kamuona katlego. Uncle anamshukuru zukisa kwa kuwapa taarifa

Sechaba anarudi home na kumkuta lerato busy akihesabu pesa,sechaba anamuuliza lerato kama alimpa somo kamo aache kuwapa hofu,larato anasema ndio,sechaba anasema ana njaa ,lerato anamwambia atampikia akimaliza kupanga hesabu za pesa,sechaba anakaa kwenye kochi na kutazama tv,mara lerato anapokea sms na kupigwa butwaa akitaja obakeng

Nikiwe yupo na gabr penthouse,gabr anamshawish nikiwe waende hosp wakahakikishe kama kweli zjkisa anaongea ukweli ili nikiwe achukue maamuzi ya mwisho alitonayo linc katika SG.nikiwe anasita na kusema haiwezekan ,gabr anamyusha je tyson na barker wakiitumia nafasi hio kumharibia zaidi.nikiwe anaikiria

Uncle wa sizwe yupo kanisani na wababa na wamama wa kanisa akiwashawish waongee na zukisa arudiane na sizwe mara zukisa anaingia na kumshangaa uncle kwa akifanyacho,mara simu inaita ni matlala akitaka kumfata zukisa kanisani hapo,zukisa anamtaka amsubirie nje ila matlaal anamwambia anamfata,zukisa anamwambia uncle aache usumbufu na kwamba alishaachana ana sizwe zaman kisha anaondoka humo
Please
tunaomba updates za jumatano
 
Wednesday

Gabr yupo wodin kwa linc,mara nikiwe anaingia humo akitokea ofisin kwa dokta na kusema bado linc anaweweseka na ni matokeo ya dawa anazopewa,nikiwe anapata wasi wasi na kusema labda waache kumpa dawa atapata nafuu,gabr anasema dawa zitamsaidia kupona,linc anamwambia nikiwe kamuona katlego,nikiwe anakataa na kumuuliza maswali linc ili kuona kama kiakili yupo sawa,anamuuliza ana watoto wangapi,linc anajibu watatu,nikiwe anauliza majina yao,linc anajibu sahihi.nikiwe anamtaka gabr awapishe humo,baada gabr kuondoka nikiwe anamwambia linc ajikaze na avumilie matibabu aache habar za mizimu maana umbea ukisambaa utawaharibia sana

Zukisa anatandika kitanda huku matlala akiwa busy kujiandaa kushave ndevu,matlala anamtaka zukisa aache kuwaza masuala ya linc na kuwa pamoja nae,anamwambia anahitaj siku hio wawe pamoja matembezini,zukisa anakubal mara inaingia sms kwenye simu yake anaisoma na kukuta uncle wa linc akimtaka waonane,zukisa anamuaga matlala na kuondoka huku matlala akibaki na butwaa

Nikiwe akiwa ofisin mara barker anatokea,nikiwe anashangaa ujio huo na kuuliza kulikon,barker anamtaka nikiwe kuachia ngazi SG yaan ajiuzulu maana maji ni marefu kwake. Nikiwe anamwambia barker hio ni ndoto na kwamba hapo yupo hatoki. Barker anaondoka

Kamo akiwa the rec anamwambia mhudumu wa hapo jins anavyojisikia,mhudumu yupo busy kusafisha meza na kutoa vyombo ila kamo anasababisha asifanye kazi kwa nafasi,aphiwe anamvuta kamo kaunta na kumwambia hata yeye hayupo sawa hivyo asizuie watu kufanya kazi. Kamo anahofia kuwa single mom,mara anasikia mtoto akcheza na kumgusisha aphiwe ,ahiwe anasema huyu mtoto ndio alama pekee ya obakeng iliyobakia

Ben kamtembelea sechaba SG ofisin,wakiwa wanapiga story huku sechaba akimsindikiza ben kupanda lift mara lift inafunguka anatoka gabr,ben anaingia kwenye lift na kuondoka, sechaba akitaka kuondoka gabr anamwita na kumuuliza kuhusu ben,sechaba anampa story kuwa ben ana hela zake na alishamiliki kituo cah televishen. Gabr anauliza kuhusu wanawake wa ben,kisha anaukiza kuhusu nikiwe sechaba anajibu wanawake wanapenda wanaume wenye pesa,gabr anashtuka ila sechaba anamwambia asiwe na wasi maana yupo kwenye mipango na nikiwe ya ndoa

Zukisa anaenda kanisan na kumkuta uncle,uncle anampa madaftar na matokeo ya mitihan ya mtoto wa zukisa na sizwe na kusema mtoto anafeli sana ndo maana sizwe anamhitaji na familia ikamtuma amuijie ila zukisa anagoma na kusema atatuma nauli mwanae aje aishi nae hapo HD

Ben yupo ofisin kwa barker,barker anamshukuru kwa kumjazia hisa zilizomwezesha kutamba mjin zaidi,ben anamtaka barker apumzike aachie vijana ili akazifaidi pesa zake barker anasema bado sana na ana mission ya kumdndosha mtu mmoja.ben anauliza nan barker anajibu nikiwe na kwamba binti anahitaji kuachia nafasi maana mambo ni mazito kupita uwezo wake na kumuuliza ben kaam anaukaribu na nikiwe, ben anajibu ni marafiki,barker anataka kumtuma ben kwa nikiwe ila ben anasema hawez kuwa kwenye hio mada maana ni muda wake kupumzika huku akicheka maana nae ana tabia za barker na anajua anachokitaka barker kwa nikiwe

Lerato na kamo wapo sebulen,lerato anasema mji umepooza,kamo anauliza kwann,lerato anasema labda sababu ya kupotea kwa gabr na kupungua kwa makeke ya nina,kamo anamsunta lerato na kumtaka aache kumsema nina,larato anainuka kwenye kochi mara sechaba anatokea,lerato anamwambia keshaandaa msosi,sechaba anaenda rum kubadili mavazi,kamo anamwambia lerato atakua single mom,na kwamba life haipo fair maana sechaba na lerato wametulia ila hawatapata kile wakitakacho wakati yeye akibak single huku akisema kapata wazo la kuhamia kwa zamdela kuomboleza zaidi. Lerato anashangaa

Nikiwe akiwa anaenda kwenye lift gabr anatokea na kuanza kuripoti masuala madogo madogo ya ulinz,nikiwe anashangaa na kuuliza kwann anaambiwa hayo maana hayamhusu na kumtaka gabr kaam atashindwa solve amwambie skhu atasahihisha,gabe anamtaka nikiwe wakapate coffee nikiwe anamshangaa gabr kwa wazo hilo wakat huo akiwa na mambo meng na ubusy,nikiwe anaondoka na kumwacha gabr nje ya lift

Nina anaondoa wateja wote shebeen akiwaambia anawapenda na kushukuru kwa uwepo wao ila anafunga biashara kwa siku chache ili kuomboleza msiba wa mwanae,wateja wanaondoka,papa g anaingia na kushangaa na kuuliza kulikon,nina anamwambia amefunga biashara,pap g anamwambia nina hakuna ushahidi hata mwili,nina anamwambia papa g ndo kasababisha na inaonekana alifanya makusudi kumtuma obakeng huko afe sababu ni damu ya adui yake,papa g anakosa cha kuongea kwa shutuma hizo

Tyson anaenda kwa angie,angie anamwambia kaachia kesi wa chini yake,tyson analalamika je wakisaidia linc akapata dhamana,angie anasema haitatokea na kumtaka tyson amwambie kinachomsibu,tyson anasema katibuana na mkewe na hana mpango wa kurudi home,angie anamwambia kama hawez mwambia sababu ni sawa tu,akae hapo waangaliane mpaka akiwa poa

Uncle yupo kanisana anaomba na mchungaji,baada ya maomb mchungaj anaondoka,uncle anachukua simu na kupiga,matlala anaiona simu ikiita chumban kwake hapokei,mara zukisa anaingia kapendeza akimtaka matlala waende matembezin matalaal anasema si zukisa mwenyewe alisema hawez kwenda,mara simu inaita matlala anamwambia zukisa simu ilimchosha maana inaita kila saa na anaepiga ni uncle

Ben na nikiwe wapo penthouse,wakiwa wanaongea ben anagusia suala la barker,nikiwe anasema hatak kumsikia barker maana anamchosha kwa kuitaka SG wakati ana umiliki wa HI. Ben anamuuliza nikiwe mbali na gabr kuna anaeweza mpa support akipata power of attorney, nikiwe anapanic na kutaman angekuwepo mwanaume kwenye familia yao awe na nguvu hio,ben anaomba radhi(ben nae kama hamuamin gabr)nikiwe anamuuliza ben kuhusu girlfriends na kwamba anashukuru barker hajamtumia kumdondosha yeye(nikiwe)

Usiku nikiwe yupo wodin kwa linc anamwambia linc kabla kampun haijadondoshwa na barker na tyson ampe shares anazomiliki. Linc anakataa kwa kutingisha kichwa
 
Back
Top Bottom