Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Thursday

Angie anaenda duncan hotel rum kwa baba hake na kumkuta bado anamalizia bata la usingizi,angie anamtaka baba yake aende kumtembelea dannie,baba mtu wala hajali na hana feelings za huruma kwa mjukuu wake bali anamwona kama mtu baki wa kumtumia kupata faida kwenye biashara zake. Angie anamlaum sana baba yake kwa ubinafsi na kumjulisha muda wa kwwnda kumwona dannie kituoni

Barker yupo na bodi yake ya uongozi akiwapa maelekezo ya kutovujisha taarifa yoyote ya kibiashara kwa Tatiana (mke wa tsyson)ili kutompa nafas ya kuacha kuinvest kwenye kampun ya barker

Selo,dannie yupo counter ya wafungwa kusubiria wagen wao kakaa muda mrefu akimsubiria babu yake mpaka askar wa kike akaamua kumtoa kinguvu na kumrudisha selo bila kujali utetez wa dannie

Gabriel akiwa rum kwake busy kutengeneza tai mara simu inaita ila anaikata,na mlango ukagongwa kisha bahasha kupenyezwa,kufungua mlango hamna mtu hivyo anaamua kuichukua bahasha na kukuta kuna pesa na ujumbe wa kutimiziwa ahadi kwa kazi aliyoifanya(shaft8) jamaa anafurah

Kamo na aphiwe wapo duncan counter,kamo kapendeza mpaka aphiwe anamuuliza kilichompendezesha hivyo maana hachelew kuiba boyfriend wa rafiki yake ila kamo anamwambia yupo hapo kwa ajili ya mtoto wa barker,aphiwe anauliza kama ni brad ila kamo anasema real son sio brad na kumtka aphiwe awe na subira maana amemtumia sms kijana muda si mrefu mara jody anatokea kamo anamtaka waungane hapo ila kijana anasema haiwezekan maana kuna rafiki zake juu rum hivyo anawapa ofa ya kwenda room,kamo anakubali na kusema wanamalizia vinywaji wataenda huko rum. Aphiwe anamsunta kamo na kutaka kuondoka maana anaona jody bado mtoto,ila kamo anamlazimisha waende rum kuenjoi

Lincoln anamtembelea tyson pale Duncan rum na kumuuliza ninu hasa anakitaka ila tyson anamjibu kifupi na kumtaka linc atulie maana hawez mwambia kinachofuata kwa mtu aliyemuua dada yake

Zukisa anamwambia lerato inabidi warudishe pesa walizookota maana matlala anasumbuka kwa kosa lisilo lake,lerato hakubalian na ushaur na kumtaka zukisa kama anajitoa ajitoe yeye ila lerato yupo tayr kuendelea na biashara alone.

Calvin anamtembelea selo dannie,polis wa kike anamleta dannie dirishan kwa mikiki mikiki,calvin anauliza kulikon,dannie anamwambia polisi wamechukia sababu ya ile press,calvin anamjulisha jins press ilivyosaidia na hash tag ilivyopokelewa vizuri,dannie anamuuliza calvn sababu ya babu yake kutotokea,calvin anajibu labda alikua busy,wanachit chat na kucheka

Zukisa na lerato wapo the rec wakimsubiria matlala,lerato anawasi wasi na kutaka kuondoka ila zukisa anamzuia,matlala anatokea na kuuliza walichomuitia,zukisa anamwambia alisikia maongez yake na gabriel hivyo anataka kumsaidia(zukisa kidogo aropoke kuwa wao ndo waliiookota pesa ila lerato anamkatisha)matlala anamtaka zukisa akae mbali na msala huo maana gabr ni hatar zaid wamjuavyo hasa kwenye masuala ya pesa,lerato anampa ofa matlala ya mkopo wwnye riba nafuu ili amlipe gabriel,matlala mwanzon anagoma kuwa na mpango wa kumlipa gabriel ila lerato anamkumbusha maneno yake kuwa gabr ni hatar kwenye pesa,jamaa anabak anafikiria

Rajesh anaingia ofisin kwa barker hasira tele na kumkuta brad,anamuulizia barker na kuambiwa yupo kwenye kikao na tatiana,rajesh analalamika kuhusu matumizi makali ya jody,kijana katumia oda ya karibu 60k za south,brad anashangaa.kijana kaagiza kwa ajili yake na rafiki zake wine za ukweli,misosi ya maana na pia kawalazimisha wahudum wampe chumba matawi juu. Rajesh anamtaka brad amwambie barker amcontrol kijana wake maana kijana kavuka mipaka.brad anatabasam(nadhan anakumbukia enzi zake kabla ya kusoteshwa uhudumu wa bar)

Lerato akiwa salun na zukisa analalamika kamo na aphiwe hawajaonekana salun siku hio ila zukisa anamtaka asimshirikishe kwenye masuala ya saluni na kuanza kumalaum lerato kwa kitendo cha kumwambia matlala kuhusu kumkopesha pesa badala ya kumrudishia pesa zake. Ila lerato anamwambia kurudisha ni impossible mission

Angie anaenda duncan na kumkuta baba yek counter akinywa na kimwana. Angie anakereka na kumsemea mbovu baba yake kisha anamtaka afungashe waende kuish wote. Baba mtu anakumbushia angie alipie bill ya hapo

Rum kwa jody,aphiwe na kamo wanaenjoy wine wakiwa wamekaa kitandan,aphiwe nawasi wasi kuhusu salon ila kamo anamtaka wainjoy kwanza,rum full music wadada na wakaka wanakunywa na kucheza humo kiongozi wao jody

Brad yupo mapokez akiulizia zaid kuhusu bill ya jody mara barker anatokea na furaha zake akimwambia brad hawana cha kuhofia kuhusu tatiana keshasawazisha mambo. Brad anamuuliza Barker kama keshaonana na rajesh ila bark anajibu hawajaonana wala kuongea

Brad anamwambia barker kuhusu matumuzi makali ya jody siku hio na kwamba rajesh amekasirika. Barker anashangaa na kuuliza hayo matumizi katumiaje,brad anajibu na marafiki wapo rum,barker anakereka sana.(brad anatabasam)

Rum duncan barker anaingia na brad,rafiki wa jody wote wanasepa.huku barker ana hasira ila kama kawaida Bradley anatabasamu
Duh jana nilipitwa, Jody ni pasua kichwa
 
Asanteeeeee. Jana sikuiona hii
 
ni kweli mpaka leo Isidingo bado ni nzuri tu,scandal also ya etv ni safi,ninaungana na wachangiaji wote hapo juu,ni kweli waandishi wetu wa sasa wamepoteza uelekeo na habari zao hazina nyama kabisa,mkumbuke Katabalo (RIP) gazeti la mfanyakazi ilikuwa ni hot cake kila jumamosi sababu ya uandishi wake makini uliojaa facts sio upuuzi tunaoshuhudia now days,nakumbuka mno wakati nchi ina heshima na adabu.
 
Daniela,baba angie na mke wa tysonView attachment 552698
....Hiyo mke wa Tyson jina lake siyo Tatiana but Khotalo (not sure of spellings).
Hata waipopata chochote ila mwili ukipimwa DNA itajulikana tu ni wa nani

Ndo tanesco wafanye yao au upate wageni muhimu aisee utaombea ITV warudi kwenye tabia yao ya marudio kwa siku hio

Thursday

Angie anaenda duncan hotel rum kwa baba hake na kumkuta bado anamalizia bata la usingizi,angie anamtaka baba yake aende kumtembelea dannie,baba mtu wala hajali na hana feelings za huruma kwa mjukuu wake bali anamwona kama mtu baki wa kumtumia kupata faida kwenye biashara zake. Angie anamlaum sana baba yake kwa ubinafsi na kumjulisha muda wa kwwnda kumwona dannie kituoni

Barker yupo na bodi yake ya uongozi akiwapa maelekezo ya kutovujisha taarifa yoyote ya kibiashara kwa Tatiana (mke wa tsyson)ili kutompa nafas ya kuacha kuinvest kwenye kampun ya barker

Selo,dannie yupo counter ya wafungwa kusubiria wagen wao kakaa muda mrefu akimsubiria babu yake mpaka askar wa kike akaamua kumtoa kinguvu na kumrudisha selo bila kujali utetez wa dannie

Gabriel akiwa rum kwake busy kutengeneza tai mara simu inaita ila anaikata,na mlango ukagongwa kisha bahasha kupenyezwa,kufungua mlango hamna mtu hivyo anaamua kuichukua bahasha na kukuta kuna pesa na ujumbe wa kutimiziwa ahadi kwa kazi aliyoifanya(shaft8) jamaa anafurah

Kamo na aphiwe wapo duncan counter,kamo kapendeza mpaka aphiwe anamuuliza kilichompendezesha hivyo maana hachelew kuiba boyfriend wa rafiki yake ila kamo anamwambia yupo hapo kwa ajili ya mtoto wa barker,aphiwe anauliza kama ni brad ila kamo anasema real son sio brad na kumtka aphiwe awe na subira maana amemtumia sms kijana muda si mrefu mara jody anatokea kamo anamtaka waungane hapo ila kijana anasema haiwezekan maana kuna rafiki zake juu rum hivyo anawapa ofa ya kwenda room,kamo anakubali na kusema wanamalizia vinywaji wataenda huko rum. Aphiwe anamsunta kamo na kutaka kuondoka maana anaona jody bado mtoto,ila kamo anamlazimisha waende rum kuenjoi

Lincoln anamtembelea tyson pale Duncan rum na kumuuliza ninu hasa anakitaka ila tyson anamjibu kifupi na kumtaka linc atulie maana hawez mwambia kinachofuata kwa mtu aliyemuua dada yake

Zukisa anamwambia lerato inabidi warudishe pesa walizookota maana matlala anasumbuka kwa kosa lisilo lake,lerato hakubalian na ushaur na kumtaka zukisa kama anajitoa ajitoe yeye ila lerato yupo tayr kuendelea na biashara alone.

Calvin anamtembelea selo dannie,polis wa kike anamleta dannie dirishan kwa mikiki mikiki,calvin anauliza kulikon,dannie anamwambia polisi wamechukia sababu ya ile press,calvin anamjulisha jins press ilivyosaidia na hash tag ilivyopokelewa vizuri,dannie anamuuliza calvn sababu ya babu yake kutotokea,calvin anajibu labda alikua busy,wanachit chat na kucheka

Zukisa na lerato wapo the rec wakimsubiria matlala,lerato anawasi wasi na kutaka kuondoka ila zukisa anamzuia,matlala anatokea na kuuliza walichomuitia,zukisa anamwambia alisikia maongez yake na gabriel hivyo anataka kumsaidia(zukisa kidogo aropoke kuwa wao ndo waliiookota pesa ila lerato anamkatisha)matlala anamtaka zukisa akae mbali na msala huo maana gabr ni hatar zaid wamjuavyo hasa kwenye masuala ya pesa,lerato anampa ofa matlala ya mkopo wwnye riba nafuu ili amlipe gabriel,matlala mwanzon anagoma kuwa na mpango wa kumlipa gabriel ila lerato anamkumbusha maneno yake kuwa gabr ni hatar kwenye pesa,jamaa anabak anafikiria

Rajesh anaingia ofisin kwa barker hasira tele na kumkuta brad,anamuulizia barker na kuambiwa yupo kwenye kikao na tatiana,rajesh analalamika kuhusu matumizi makali ya jody,kijana katumia oda ya karibu 60k za south,brad anashangaa.kijana kaagiza kwa ajili yake na rafiki zake wine za ukweli,misosi ya maana na pia kawalazimisha wahudum wampe chumba matawi juu. Rajesh anamtaka brad amwambie barker amcontrol kijana wake maana kijana kavuka mipaka.brad anatabasam(nadhan anakumbukia enzi zake kabla ya kusoteshwa uhudumu wa bar)

Lerato akiwa salun na zukisa analalamika kamo na aphiwe hawajaonekana salun siku hio ila zukisa anamtaka asimshirikishe kwenye masuala ya saluni na kuanza kumalaum lerato kwa kitendo cha kumwambia matlala kuhusu kumkopesha pesa badala ya kumrudishia pesa zake. Ila lerato anamwambia kurudisha ni impossible mission

Angie anaenda duncan na kumkuta baba yek counter akinywa na kimwana. Angie anakereka na kumsemea mbovu baba yake kisha anamtaka afungashe waende kuish wote. Baba mtu anakumbushia angie alipie bill ya hapo

Rum kwa jody,aphiwe na kamo wanaenjoy wine wakiwa wamekaa kitandan,aphiwe nawasi wasi kuhusu salon ila kamo anamtaka wainjoy kwanza,rum full music wadada na wakaka wanakunywa na kucheza humo kiongozi wao jody

Brad yupo mapokez akiulizia zaid kuhusu bill ya jody mara barker anatokea na furaha zake akimwambia brad hawana cha kuhofia kuhusu tatiana keshasawazisha mambo. Brad anamuuliza Barker kama keshaonana na rajesh ila bark anajibu hawajaonana wala kuongea

Brad anamwambia barker kuhusu matumuzi makali ya jody siku hio na kwamba rajesh amekasirika. Barker anashangaa na kuuliza hayo matumizi katumiaje,brad anajibu na marafiki wapo rum,barker anakereka sana.(brad anatabasam)

Rum duncan barker anaingia na brad,rafiki wa jody wote wanasepa.huku barker ana hasira ila kama kawaida Bradley anatabasamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Friday
Eddie kituon yupo masijala anaulizia kama faili alilotuma makao makuu limerejeshwa,askar wa hapo anamjibu bado halijarejeshwa eddie analalamika kucheleweshwa mara majola anaingia na kumshanhaza eddie. Eddie anauliza kilichomleta hapo majola anaonyesha kujua mengi kuhusu kesi ya sibeko na mifupa ila eddie hamtak majola katika uhusika wa kesi hio na kumtaka arudi makao makuu akaendelee na suspensiom yake

Wachimbaji waliokamatwa shaft 8 wapo kituon polisi wanaelewana hakjna kusema chochote kwa eddie,mara eddie anaingia na kuwatishia hawatapata dhamana kwa mwezi au hata milele mpaka waseme ukweli,jamaa wanamgomea kisha wanasema wana uhakika wa kupatiwa dhamana na mwjshowe eddie anawaambia wamedhaminiwa na mtu hivyo wapo huru. Jamaa wanasepa.

Barker akiwa na jody pekee ofisin sijui rum pale,anamwambia jody kuwa alipochezea usafiri wa ndege hakukua na madhara sana ila hio party aliyoufanya haivumiliki maana kidpgo impotezee mteja wake mkubwa,jody anasema hakufaham kama jamaa ni mteja mkubwa,barker anamwambia keshamwekea booking ya ndege kurud alipokua akasome chuo,hivyo ana mwez mmoja wa kuish hapo. Jody anagoma na kutaka kubaki hapo sababj ndo nyumban(huku akionyesha wivu kwa barker kumpa bradley kipaumbele hapo)barker anamtaka akasome kwanza,jody anasema anataka ajifunze hapo hapo biashara zote za barker maana yeye ndio mrithi wa hizo mali,barker hadi huruma

Morogwa anaenda mgodin na kumkuta matlala,jamaa anashangaa kumwona na kumwambia haruhusiwi kuwa eneo hilo hali si shwari,morogwa anakohoa sana na kumwambia anahitaji pesa na hajala siku mbili. Matlala anamhurumia

Lerato anaendelea na biaahara yake ya kukopesha watu pesa,anamsunta kamo kwa kutoonekana siku ya jana yake

Mzee Conrad anaenda mtembelea dannie selo,bidada anafurah na kuuliza kwann jana yake alichomeshwa mahindi,mzee anajitetea kuwa na mawazo kumuona mjukuu wake mahali hapo

Zukisa akiwa ofisi ya kanisa na gabriel,anajaribu kumwambia gabriel asimsumbue matlala kuhusu pesa ila gabr anamwambia hajui chochote maana pesa ilipotea mikonon kwa matlala hivyo mwizi ni huyo ila zukisa anajikuta anaropoka kuwa ilikua kosa tu gabr anakamata neno na kumdadisi zaid,zukisa anajikuta anasema anamfahamu aliyechukua pesa hizo

Angie na calvin wakiongea na mwanasheria anayehusika na dhamana ya dannie mara mzee Conrad (baba ake angie)anatokea na kwenda kwwnye friji huku akiwataka waendelee tu na maongez maana yeye anashida zake(vinywaji). Mwanasherja anauliza ndo nanj huyo,angie akataka kuficha ila calvin akamwambia aweke wazi ili iwe rahisi kumsaidia dannie,dannie akasema huyo baba ake ndo chanzo cha dannie kuwa jela. Calvin akatoa wazo kumshirikisha mzee kwenye utetez wa dhamana ila angie akapinga kwa kusema mzee ni mbinafsi haaminiki

Nikiwe anaenda saloon kwa lerato kami anampokea vizuri na kumkuta lerato busy na wateja wa kukopa. Nikiwe anamshangaa na kjmuuliza kama aliufikiria vizuri ushaur wake maana dunia imebadilika,lerato anamjibu anachofanya ni sahihi. Nikiwe anauliza kama walisajili kampun lerato anasema walisajili na kumtaka nikiwe kuwaza mifupa iliyopatikana SG

Majola anampelekea eddie donuts ofisin ili kumshawishi awe nae kwenye kesi hio ila eddie anamtolea nje

Calvin akiwa the rec anagongana na mzee Conrad, calvin anajitambulisha upya,mzee anamkumbuka na kuulizia sehemu yenye wanawake warembo,calvin anamtaka waket waongee kisha anamshawishi amsaidie mjukuu wake kutoka selo. Babu mtu yupo tayar ila hana uhakika kama angie atapenda wazo hilo.

Nikiwe akiwa ofisin kwake mara gabr anaingia kwa sura ya tabasam kupooza mambo ila nikiwe bado ana hasira kwa kilichotokea shaft 8,wakiwa wanaongea humo ofisin majola anatokea kwwnye lift na kusimama mapokezi akiwasikiliza,mara nikiwe anatoka ofisin na kuja mapokez kumuuliza secretary kama safar ya linc kwenda china keaho yake ipo tayar,secretary anajibu yes. Majola anasepa kimya kimya

Zukisa anamwambia lerato jins maongez yake na gabr yalivyokua. Lerato anamlaum sana zukisa. Zukisa ana wasi wasi jinsi ya kumjibu gabr kuhusu mhusika wa pesa kama alivyomwambia

Sechaba anaagiza msosi the rec,skhu anashangaa,sechaba anasema lerato yupo busy sana siku hizi kisha anamuulizia masuala ya kodi,skhu anajibu ameshasolve na kwamba amerudishiwa pesa zake zilizochukuliwa kimakosa,sechaba anaona ni chance nzuri ya kutumia kiasi cha pesa kunywa bia,skhu anacheka.

Mzee conrad akiwa home anamwambia angie kwamba yupo tayar kuongea kwwnye kesi ya dannie,angie anaanahisi ni calvin tu kaonhea na mzee,anamwita calvin na kumlaumu na kumtaka akae mbali na familia yake,calvin anamsunta kwa kumwambia mambo yakimchachia ndo huwa anaona umuhimu wake so haan tofaut na zamdelas. Baba angie anamwambia angie alichomfanyia calvin sio kizuri. Angie anamuulzia baba yake ataongea nn mahakaman,mzee anajibu ataongea ukweli wote.

Majola yupo kituoni polisi akimsubiria kwa hamu eddie,edsie anatokea,majola anamwambia kua Lincoln anasafiri kesho kwenda china so amzuie,eddie anamtaka majola akae mbali na kesi na kwamba Lincoln hausiki na mifupa ya SG,ila majola anamwambia kuwa majibu ya vipimo vya mifupa yameshatoka na anayafahamu kwa asilimia 100,eddie anamwambia aseme ni mifupa ya nani. Majola anajibu ya katlego sibeko
 
Patumu hapo. Jumatatu sikosi
 
Back
Top Bottom