Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

TATIZO LA WATU WENGINE HUKU

yaani mtu kudownload app ya ITV basi mmekengeuka. badala ya kutoa update mnatuambia tukaangalie kwa app.

mbona mna laana ya BASHITE nyie! kuna umuhimu gani tukajua unatumia ki tecno kako ka mtumba ku angalia ITV app.

yaani mijitu mingine sijui ina akili za mbuni. maana mbuni ana jicho kubwa kuliko akili. kazi kusifia eti mmedaulodi itv kiganjani mbona msiseme mmedaulodi porno.

embu kuweni binadamu sio kila kitu upunda na ubashite. ninajua tunaingia humu(baadhi) kwa smart phone. embu zitumieni vizuri sio mturingishie.

wengine tulianza kutumia hizo smart phone aata kabla wengine hamjawahi kumiliki.

mpunguze mchecheto kama umeona papuchii. muku mpunguze najua mnatumia smart phne. msiniletee ukasuku eti download itv app.

humu ni kwa ajili ya update za isidingo sio update ya kudaulodi itv app. wengine tuna smart tv sijui na sis tuseme mnunue. kitu kinatumia wi fi mfyuuuu

elimikeni hamkununua izo tecno mjifunze ujinga( FaizaFoxy writting)

cc kitakako muuma atajaza
Yaaan mpk nawashangaa ukiuliza unaaambiwa angalia kwny app sasa humu tupo kwa ajili gani
 
Nikiwe ananishangaza. .............
Yaani Pastor Gabriel kamkolea. .......
Jana Nikiwe kapewa zawadi ya mkufu ....

Mama yake Leratto alikuta mkopo ya dawa jikoni. Akamuuliza binti yake ni ya nini?Leratto akasema ni Vitamins. Akaulizwa za nini, akawa anashindwa kutoa jibu akaishia kuwa mkali....Mama yake akamuuliza mbona hulali na Sechaba chumba kimoja? Leratto akamwambia mama yake asimuingilie kwenye sex life yake. ..
Mama ikabidi awe mpole ambembeleze mwanaye. ..Leratto akakubali kufunguka kwamba ana shida ya POF kama sijakosea (Premature Ovaries Failure )
Hawezi kupata watoto. ..
Alipokuwa anasema hayo alikuwa analia kwa uchungu mpaka akamliza mama yake....
 
Pia Jana niliona Hector yuko kwa Angie. ...
Angie anamrecord kuhusiana na issue nzima ya Operation za Zamndela (Nina ). Na amemuahidi kwamba akimaliza atampeleka kwenye safe house.

Calvin aliingia ndani, akashtuka kumkuta Hector ndani. .. Calvin akaambiwa asijali kwani huyo Hector anafanya kazi under cover. ...
Calvin akamuambia Angie naona umeanza kumess na Zamndela's family. ....Angie akajibu YES. ...
 
Mkuu shukrani kwa update Jana mnimeona pastor Gabriel ameulizwa na Nikiwe "what do you miss from me?"pastor Gabriel alajibu 'your body" sasa wakuu vepe mambo yameisha happen kati yao au??
 
Hatimaye Hector auwawa na Nina mbele ya Obakeng na George. Obakeng alichemka kupeleka taarifa kwa familia kuwa anajua aliko. Akajaribu kumtetea kuwa hatatoa siri ila akawaambia siri zao wanazo Angie, na akina Eddie na Majola. Wakamlazimisha awapeleke alipo ndipo mauti yalipomkuta.Obakeng alimwambia Hector atampa hela atoweke sijui kwa nini alienda kutoboa tena siri.

Eddie, Majola na Angie wanazozana kuhusu kupotea kwa Hector na Angie anawaahidi atamtafuta huku Zamdela wakimuwahi.

Nikiwe nae kaamua kumwambia Kumar alilala na Gabriel huku babake Linc akimwuliza Skhu kama anaona tofauti yoyote tangu Niky aanze kampeni yake na Gab ila Skhu akamtetea na kujifanya haelewi.
Obakeng nae anamwambia Aphiwe kuwa haoni kama wanaendana, eti she is too good for him na yeye Aphiwe hajamjua vizuri, naona lile la kupigwa kwa Calvin linamsumbua.

Kamulego nae inaonekana anataka kuharibu mahusiano ya Obakeng na Aphiwe kwa kupanga waende kwa movie tena, baada ya emergency ya Hector kutokea Oby hakwenda tena ndipo Kamulego nae akasingizia dadake ana stress za harusi anataka awe nae karibu blah blah ila ilikuwa gia ya kuwaachia nafasi Cal na Aphiwe.

Sechaba nae kaingia ghafla room na kumfanya Lerato adondoshe tiba za matatizo yake, baada ya kuharibu dose ikabidi arudi kwa dr Beth ampe nyingine ndipo bila kutegemea Sechaba nae akaingia kwenye chumba cha dr......
 
Kwahiyo sechaba bado hajajua kuwa rato ana shida?
 
Kwahiyo sechaba bado hajajua kuwa rato ana shida?
Yap, waliporudi nyumbani akamlazimisha aseme shida ni nini ndipo alipomweleza ukweli. Wakabebana tena hadi kwa dr ili kupata ukweli vizuri, Sechaba akaonekana hana matumaini na tiba anayopata Lerato.
Lerato aliporudi akamwambia mamake Sechaba anasita kufunga ndoa, Sechaba aliporudi mkwe akamdaka lazima ndoa ifungwe familia 2 lazima ziungane ili watatue matatizo yaliyopo kwa pamoja, Sechaba akasema anampenda Lerato ila la kutopata mtoto linamwumiza, mkwe akawakumbatia wote na kushusha maombi
 
Hii familia ya kizamdela imenitisha, hata Obakeng anajuta kuwajua manake ameshuhudia mauaji ya Hector mbele yake yakifanywa na mama yake, afu Zamdela anataka kumpa jukumu la kwenda kuuzika japo Nina anapinga hilo anasema kuna watu wa kufanya kazi hiyo, mzee akaona haitoshi akamfuata gheto kwake akamwambia hivi ndivyo Zamdela tunavyokaa sasa ww unaonekana soft, dogo anajitetea yeye sio soft mzee anamwambia basi fanya jambo kunidhihirishia kwamba wewe ni true Zamdela na sio Bhengu.
 
Baada ya Nina kumuua Hector George akataka Oby atoe ule mwili eneo la tukio lakini Nina akakataa, George akamwambia atajifunza lini kuwa kama Zamdela?? Wakarudi nyumbani na Oby hakurudi kwake wala hakumpigia Aphiwe.

Calvin na Aphiwe baada ya kupata msosi Calvin akachomeka ni emergency gani inayosababisha Oby asimtafute Aphiwe?? Alipotaka kuchombeza Aphiwe akamwambia mambo yamebadilika. calvin akamwambia najua hakuna kilichobadilika kati yetu.

Oby anampigia Aphiwe akiwa kesharudi getho anajitetea kuwa hawezi kujieleza kwa muda huo kuhusu kupotea kwake naye Aphiwe akamkatia simu kwa hasira.
 
Nik na Zuki wanachati kidogo, Zuki anamwuliza Nik kwa nini siku hizi ana furaha sana Nik akajitetea ni matokeo ya project na Gabriel mwenyewe ni sehemu ya furaha hiyo. Zuki akamwambia anatumia mda mwingi na Gabriel vipi Skhu?? linc akaingia na kumwambia Nikiwe aachane na wafanyakazi wake na kuwa anarudi kazini rasmi.

Gaby anaingia ofisini kwa Nik na kumpiga busu, Linc anawafumania na kumpa makavu mwanae kwa kufanya upuzi ofisini, Nik akamind na kumwambia babake kama hana ishu ya maana asepe.

George nae baada ya kuona Nina hataki kumfundisha mwanae kazi akaamua kumfuata getho na kumwambia kuwa babake alikuwa hivyo hivyo mlaini laini so kama anataka kumwonyesha yeye ni Zamdela basi akautoe ule mwili kwenye eneo la tukio.....Nina alimshauri babake waupeleke old shebeen.

Majola anakataa kufanya kazi na Angie kwa madai kuwa yeye ndo sababu ya Hector kutoroka. Angie akamwambia Hector alienda kwake kwa sababu hakumuamini Majola na ana ushahidi kutoka kwa Hector. Majola akaona keshalikoroga tena, Eddie akamlaumu kwa kuongea ujinga na kumsababisha Angie kuondoka.
 
Back
Top Bottom