Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

No more updates, sasa yule jamaa alikuwa anamkosoa Numbisa yeye basi ndo atupe updates, naye kimya. Nilidhani alitaka yeye ndo awe anatoa updates kumbe sivyo, So nashindwa kujua motive yake ilikuwa nini thread haipati updates kwa sasa tofauti na madhumuni ya kuanzishwa kwake. Kuna watu roho zao wanazijua wao wenyewe na Mungu wao kwa kweli.
 
Swala la update halikuwa baya isipokuwa kitendo cha Ku quote uzi wa update mzima na kisha kusema "thanks" hakikuwa chema hivyo nikamzuia Numbisa kuleta update hadi baadhi ya watu wajirekebishe
 
Mkuu usinizushie,lini ulinizuia kuleta updates? Sijazuiwa na mtu bali mizinguo ya baadhi ya watu humu. Sina mpango wa kuleta updates humu. Yeyote anayetaka kuleta updates alete tu. ITV ipo free kwa watu wote.

umesusa? Haya rudi bas c ushapata ulicho kiihitaji (kubembelezwa
 
wp2xmfq96epan9nyolhs.jpg

Lettie
Namkumbuka huyu mwanadada ila ni marehemu kwa sasa, alijitangaza ni muathirika 2011, mnamo 2012 alikatiza matumizi ya ARV akawa anakomaa na special diet, alikutwa amefariki kwake mwaka 2014, akiwa na umri wa miaka 39.
 
Back
Top Bottom