Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Obakeng yupo fine,amataka kuondoka kwa papa g kuenda kujitegemea ila nina hakubali wazo lake na kumshawishi aende kumuona dokta ajue tatizo lilivyo mwanzon jamaa alikataa baada ya muda akakubali,nina akasema wataenda pamoja.

Kamo yupo mezani busy na simu baada ya kufungua account tweeter,sechaba anakuja na kumwambia lerato kuwa skhu kamueleza jinsi kamo alivyokua anagawa vipeperushi the rec,mwanzo lerato akaanza mlaumu kamo ila kamo akajitetea na kusema kampa na nikiwe kipeperushi,lerato anafurahi

Rajesh kaenda mwa eddie kumfariji kwa kipindi kigumu anachopitia. Yvette ameondoka yupo nje ya mji.

Charlie, brad and his girlfriend wapo duncan wakipiga story hizi na zile hasa tweets. Charlie anasema muda huo atafata ushaur wa baba yake kuendelea na maisha yake

Nikiwe anaamka na furaha na kwenda kutaka juis kwa zukisa huku akimwambia alivyoinjoi jana yake na gabriel,zukisa anauliza kama skhu alifaidi. Nikiwe anasema hakuwepo skhu,zukisa hafurahii na kumpa nikiwe mabango yake kuwa anahitaji kuwa karibu na skhu na kusuluhisha matatizo yaoyao.nikiwe hafurahii maneno ya zukisa na kumkumbusha akafanye kazikazi

Obakeng na nina wanapewa majibu na beth yanayoonyesha obakeng ana tatizo linalohitaji tiba,polisi hawahusiki kwa tatizo hilo na kupewa dawa. Ila mtu na mwanae hawaamin

Nikiwe anapokea zawadi ya mauo yaliyoletwa na secretary wake(nadhan gabriel katuma) yakiwa na ujumbe,nikiwe anayarudisha maua kwa aliyeyatuma na ujumbe aliouandika kumjibu

Lerato katembelewa na mtaalamu wa make up anayewapa ujuzi wa kupamba watu

Skhu anamtembelea nikiwe ofisin kwake na kumuuliza siku yake iliendaje jana,niki akiwa na furaha anamueleza kidogo.skhu anamuuliza mbona wakiwa pamoja hapend kula na kunywa ila kaenda na gabriel shebeen wamekula na kunywa,.niki anamsifia gabr kuwa ana maneno mazuri mchangamfu jambo linalomkera skhu bila nikiwe kugundua. Kisha niki anamualika skhu wawe pamoja usiku

Lerato anaamua kufunga biashara mapema maana hamna wateja.aphiwe anafurahia kuwahi kuondoka,kamo anampasha wanaanza malumbano,lerato anawastopisha mara nikiwe anaingia na kutaka huduma,kamo anamuwahi ili amuhudumie,aphiwe anaaga kuondoka kabla hajaondoka mara akatokea mteja lerato akamwambia amhudumie,haijapita muda mteja mwingine akaja wote wana vipeperusho alivyogawa kamo,lerato anafurahia

Obakeng na nina wanarud home na kuanza mlalamikia papa g kuwa hosp wanawabambikizoa ugonjwa wakati ni kosa la polisi. Ila ugonjwa alionao obakwng ni wa kurithi toka kwa baba yake. Nina ana mpango wa kumshtaki eddie alipie pesa za matibabu ya obakeng

Nikiwe na skhu wapo mezani huku kukiwa na msosi mzuri. Kabla hawajaanza kunywa na kula mara nikiwe anaanza msifia gabriel kwa ucheshi wake na mambo mengi.skhu anakereka wazi wazi na kuondoka. Zukisa hakua mbali alishuhudia yote hayo,niki akiwa kapigwa butwaa haelewi alichokosea anamuuliza zukisa nn tatizo mbona kama ana jambo anataka kusema kitu. Zukisa anamwambia ukweli niki kuwa inaonekanabanataka kuachana na skhu maana kila siku anamsukuma nje ya maisha yake,kulikua hakuna haja ya kumtaja gabriel maana anajua kabisa skhu hampend gabriel. Nikiwe anajitetea ila hana point

Dokta beth anamtembelea eddie nyumban na kuongelea masuala ya tweets,kisha wakahamisha topic kwa suala la obakeng mara charlie anatokea na kumtaka baba yake atoke nje kujionea. Nje wana kuta maandashi makubwa yamechora neno racist
 
Hii kitu nilikuwa ninaifuatilia those days ya kina Derick Nyati, Nadhipa, Zebedee na familia yake baada ya hapo nikapoteza mwelekeo kutokana na masomo na kwenda huku na huku hasa ukizingatia Tv ilikuwa anasa
 
Dokta beth anashangaa hayo maneno yamwekwa muda gan maana kapita hapo dk 2 hayakuwepo,eddie anamuuliza Charlie kama kamuona mtu wakat anakuja charlie akasema hakuona mtu.

Papa g anamtaka obaleng ajiunge na biashara ya familia,anaweza kumuweka kwenye ulinzi au usafirishaji,nina anakataa anasema kijana anahitaji kuwa na shughuli yake sio biashara ya familia huku obakeng mwenyewe akihitaj kuondoka hapo kwenda kuishi kota anapoishi

Mtaalamu wa make up anamuaga lerato na kuahidi kumpa promo kwenye account zake za mtandaoni

Gabriel anapokea maua yaliyorudishwa na nikiwe yakiwa na jibu la kutopendezwa kwa kitendo hicho,kabla hajatulia mlango ukagongwa akaingia morogwa na kuyaona maua mkonon mwa gabr akadhan ni yake na kuyachukua kisha kukaa nayo kitandan huku akijihisi kamalkia,gabr hakupendezwa na hicho kitendo kisha kumwambia morogwa amemuita sababu matlala hapokei simu yake hivyo akamuitie waonane

Gabriel anaenda kwa nikiwe na kuambiwa na nikiwe asitume maua maana ana boyfriend,gabriel anamuuliza nikiwe kama anampenda boy wake bidada anakosa jibu. Gabr anahaid no flowers na vingine bali business only

Lerato akiwa na kamo na aphiwe wakiongelea biashara mara charlie anaingia kutaka kutengenezwa kucha ila kamo anagoma na kusema hana urafiki na racist,Charlie anajisikia vibaya na kutaka kuondoka ila lerato anamsihi abaki huku aphiwe akikubali kumtengeneza kucha.

Morogwa anawapeleka matlala na gang yake kwa house ya zaman ya gabriel kuonana nae,ila gabr anawazingua kuwaamrisha kama boss wao huku akiwatishia kwa jina la papa g kuwa wakaibe zana za sibeko wafanyie kazi shaft 8. Jamaa wanaondoka kwa hasira

Eddie anaenda kuripoti polisi kitendo cha kukuta rangi mlangon kwake akitaka wahusika wawahi kukamatwa,mara dokta beth anatokea na kumpa ofa ya kampan kwa charlie

Nina na papa g bado wana topic ya obakeng kujiunga na biashara ya familia ila nina hataki. Papa g anaondoka ofisin kwa nina kwa hasira.

Aphiwe anapokea simu na kuongea na obakeng wakipanga kuwa pamoja usiku.kamo anashangaa kuwa aphiwe na obakeng hawajawah spend pamoja usiku kama alivyoambiwa na aphiwe na kumtakia mafanikio

Charlie yupo kwao gizan ana wakati mgumu mara eddie anatokea na kuuliza kwann amekaa gizani,bidada anamueleza yote yaliyotokea saloon.

Matlala anaenda kwa nina na kumwambia yote anayofanya shaft 8 ni kwa kuwaheshimu tu

Brad na tiffan wanamtembelea charlie home kwao kumpa sapoti

Gabr anafika geto lake la zaman na kukuta rundo la zana za migodin na kushangaa,morogwa anamwambia kuiba zana mgodini ni kazi sana kuliko kuzipata za nje na kumfafanulia ujumbe kuwa matlala hamuogopi yeye gabr ndio maana wamezileta zana hapo

Aphiwe anaenda geto kwa obakeng,kapendeza anapewa rose na kiss kibao na kusifiwa juu bidada full mafuraha mara wanahamia kitandani. Wakiwa hapo aphiwe anagundua shuka lililotandikwa ni zawadi toka kwa kamo na kuchukia. Obakeng anabaki kushangaa hajui ubaya wa kutandika shuka hilo.
 
Thank you Numbisa
 
Sante Numbisa
 
Back
Top Bottom