Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Haja achiwa bhana. Umeona kwy tivii ipi?

Mbona Ms Scott ana lalama yuko lupango??
Walikua polis kuonyesha kakubaliana nao ikuwa Ni self defence kawaambia kuwa ikisikika kuwa Kuna mtu kauawa nyumban kwa cal itakua kasema mtu mwingine Na sio yeye Eddie
 
Walikua polis kuonyesha kakubaliana nao ikuwa Ni self defence kawaambia kuwa ikisikika kuwa Kuna mtu kauawa nyumban kwa cal itakua kasema mtu mwingine Na sio yeye Eddie
Ni kweli.

Imekuaje sasa Ms Scott kaenda kulalama kwa Lincoln na Tyson kama walikubaliana yaishie kwao watatu?
 
Ni kweli.

Imekuaje sasa Ms Scott kaenda kulalama kwa Lincoln na Tyson kama walikubaliana yaishie kwao watatu?
Lengo Ni ku create attention na kupeleka taarifa kwa Linc ,the way Angelique alivyokua anamuambia Tyson ,Linc alikua kadata akabak anajikanyaga Tu haelewik anaongea nini
 
Nina wants Gabriel to work under her forever!!.. of course to rescue him from the "screwed" life he's living now.
 
Duh jmn can't wait to see it!! Nipo mbali na tv jmn

Leo imeishia patamu morongwa kaokota pete ya katlego shaft 8 sawa wakawa wanabishana na mltala kuhusu kuireport.

mke wa sizwe kama moyo ushaanza kuangukia kwa pastor. leo kamualika kwenda rec akamnunulia maji kisha kampa mkufu wa thahabu mara mr moloi huyo... ohhh men don take thing from dis pastor.

lerato naye, kamo ameorder sijui tu nini vya rand 40,000 maana yale maandishi ya healing power yaliziba uhondo.

leo niki na boy wake ndani ya sibeko house, kuingia ndani wanakutana na mabishano ya linc na tyson. naye boy wa niki(nimemsahau jina) sasa anamuambia nik kuwa baba yake alidanganya polisi kuhusu katlego kuondoka

niishie hapa maana hii button yangu linasumbua maana natumia nokia tochi yeny net
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom