Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

Note 5 ni nzuri sana. Ila screen yake inakula sana charge.
Charge haiwezi kudumu zaidi ya 8hrs hata kama matumizi yako ni kiduchuu.

Ila zina screen resolution nzuri sana.

Sent using [Iphone XS Max]
 
Note 5 ni nzuri sana. Ila screen yake inakula sana charge.
Charge haiwezi kudumu zaidi ya 8hrs hata kama matumizi yako ni kiduchuu.

Ila zina screen resolution nzuri sana.

Sent using [Iphone XS Max]
Yes..Kunakipindi nilitumia note 5..haki ni tamu.. Bt i lost it and nimejikuta nimerudi simu ya kawaida haha life bwana si fair at all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jibu ni rahisi sana unatakiwa utofautishe original, fake, used, brand new au refurbished. Hizi za kwetu ni original used. Sasa box kwenye simu used inatoka wapi. Ila ukitaka box unapewa. Watu wengi ndo wanauziwaga mbuzi kwenye gunia. Wengi wanaochukua simu za jumla hutafutia box na kuwapeni kama mpya.
Samsung napenda sana kuutumia ila product zake zinanichanganya mara product ya Korea mara ya Vietnam mara ya China Mara made by Samsung ipi product gud kwa experience yako? Msaada please
 
Duh hzi ni zile za waliokufa na Corona Mzee zipige kwanza Sanitiser aka Sanitiza kwa kisukuma...sanitanilaiza kwa Kimasai....
 
Back
Top Bottom