Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

Kuna wimbo mmoja unaitwa Black hole kaimba mwanadada anaitwa Griff.

Anasema limebaki shimo kubwaa jeusiii kwenye sehemu ambayo moyo wake ulikuepo, anajitahidi kuliziba hilo shimo kwa vitu ambavyo havitaki...

Ngoja niuweke hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom