Wapenzi wa pensi/short aina ya timberland Grade A karibuni

Mr dark light

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
298
253
Salaam
Wakuu kama ww ni mpenzi wa hizi short timberland au unauza kwa rejareja njoo nikuuzie kwa jumla mzigo ni grade A, zipo kama 40 hivi kama tukikubaliana utakuwa mteja wangu kila nikifungua belo la pensi,

Wa mikoani sijawaacha karibuni pia najua mna ndugu haoa jijini mtume ndugu yako aje kuangalia mzigo tufanye biashara, size ni za watu wazima

Location
Makumbusho

Nb
Hamna picha maana simu yangu iliisha chaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo nyingi hizo ni baadhi tu
20190111_102059.jpg
20190111_102129.jpg
20190111_102248.jpg
20190111_102312.jpg
20190110_232209.jpg
20190111_102203.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom